Baby Mama na Girlfriend Wanamgombea Mume wa Mtu

Imekaa kimbeya mno.. weka dondoo za huyo mh unahofia nini kama ni kweli
 
Watu kama hao hawachukui vibinti vidogi wanachukua wadada wakubwa wanaojiheshimu. Sio mwanamke unalala nae leo kesho insta yote inajua.
 
Yaan huu ugomvi haujaishaga tu, kuna kipindi mh mbunge alikuwa anapost sana mke wake na caption za kusifia.
Alimpost baada ya kuwekwa sana kwenye page za watu kuwa anamcheat mke wake. Ndo kujifanya yuko sawa na mkewe akaanza post mapicha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…