Baby Mama na Girlfriend Wanamgombea Mume wa Mtu

Baby Mama na Girlfriend Wanamgombea Mume wa Mtu

Wadada wawili wa mjini ambapo mmoja kazalishwa na mh mbunge na mwingine ndo current girlfriend wa mheshimiwa wako kwenye vita kali ya maneno mpaka mmoja kusema ataita press kuongelea kila kitu kuhusu uhusiano wake na bebi mupya wa mbunge na mbunge pia.
Cha ajabu zaidi ni kwamba mbunge huyo ana mke mzuri mlokole wala hajui matendo anayofanya mumewe mpaka kufikia kugombewa na warembo wadada wa mjini.
Ni ajabu na aibu wanawake wazuri kuanza kukaa kumgombania mume wa mtu tena kwenye mitandao huku mkijivika ulokole.
Imekaa kimbeya mno.. weka dondoo za huyo mh unahofia nini kama ni kweli
 
Dada zetu mnaacha kufa ni kina mo dewji watoto walithi viwanda.. mnahangaika na wabunge ambao wanategemea mshahara na posho...

inabidi K lyn aaanzishe tution ya kudanga...

yaani GSM, Mafuruki, Mbwana Samatta, mnashindwa kuwatega... mnahangaika na mbungee kipato chenyewe magu anakichinja chinja
Watu kama hao hawachukui vibinti vidogi wanachukua wadada wakubwa wanaojiheshimu. Sio mwanamke unalala nae leo kesho insta yote inajua.
 
Back
Top Bottom