Baby Mama na Girlfriend Wanamgombea Mume wa Mtu

Dada zetu mnaacha kufa ni kina mo dewji watoto walithi viwanda.. mnahangaika na wabunge ambao wanategemea mshahara na posho...

inabidi K lyn aaanzishe tution ya kudanga...

yaani GSM, Mafuruki, Mbwana Samatta, mnashindwa kuwatega... mnahangaika na mbungee kipato chenyewe magu anakichinja chinja

hili nalo neno
 
Alikua na duka tayari. Mh kaenda jazia tu mtaji
Mh basi kama ndo hivyo ndo maana mdangaji amuachi kwasababu ya kumpiga tafu...ila huyu queen kwa mashauzi kazid ndo nini kujitutumua vile hadi mwenye mali anasanda mfyuu zao.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Hii inaitwa " wezi wanachapana makonde na mapanga, ilhali mwenye shamba ametulia tuli"

Wadada wa mujini wanajua kupigania ugali na mboga kwa nguvu sana

Hali ngumu sana kumbe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mwenye mali ni mke na yeye wala hajui kama yule mke mwenzie kaambiwa ni dada wa mumewe. Hivyo anamuheshimu kama wifi yake.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Hii inaitwa " wezi wanachapana makonde na mapanga, ilhali mwenye shamba ametulia tuli"

Wadada wa mujini wanajua kupigania ugali na mboga kwa nguvu sana

Hali ngumu sana kumbe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Vyumq vimekaza mkuu. Wasipodanga mjini watakula nini na hamna mashamba
 
Hao ndio wale wakitoka kwenye ubunge wanaanza kulia lia kuomba msaada, huku sasa hv pesa wanachezea
Style ya Former MP wa Kilombero , kazi kutajwa majina na wasanii , halafu ukiugua unaisumbua serikali kwani hukujikatia Bima ya Afya ya Class yako.
 
Daaah. Yule mzee nasikia alikua hatari kabisa. Na pale anasambaza ile video alikua ametoka kuuza nyumba kama 800M pesa akaenda kuichezea kamari yotee
 
hivi watu kama hawa ndo tunawapa dhamana ya jimbo
teh kwa kweli hata sisi wa TZ tujichunguze wakati wa kutafuta watu wa kutuwakilisha
 
Back
Top Bottom