Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela ya kuhonga anayo.Hiyo mbunge anapenda papuchi sana anatokea singida
Dada zetu mnaacha kufa ni kina mo dewji watoto walithi viwanda.. mnahangaika na wabunge ambao wanategemea mshahara na posho...
inabidi K lyn aaanzishe tution ya kudanga...
yaani GSM, Mafuruki, Mbwana Samatta, mnashindwa kuwatega... mnahangaika na mbungee kipato chenyewe magu anakichinja chinja
Acha waliwe tuHela ya kuhonga anayo.
Na wadada wa mjini wanapenda kitonga
Mahabaa...Shikamoo babu
Mh basi kama ndo hivyo ndo maana mdangaji amuachi kwasababu ya kumpiga tafu...ila huyu queen kwa mashauzi kazid ndo nini kujitutumua vile hadi mwenye mali anasanda mfyuu zao.Alikua na duka tayari. Mh kaenda jazia tu mtaji
Huyo kwenye avatar ni wewe?Tunajuana vizuri kabisaa. Ni mshkaji wangu ila matendo yake sijawahi kuyazoea.
Mwenye mali ni mke na yeye wala hajui kama yule mke mwenzie kaambiwa ni dada wa mumewe. Hivyo anamuheshimu kama wifi yake.Mh basi kama ndo hivyo ndo maana mdangaji amuachi kwasababu ya kumpiga tafu...ila huyu queen kwa mashauzi kazid ndo nini kujitutumua vile hadi mwenye mali anasanda mfyuu zao.
Vyumq vimekaza mkuu. Wasipodanga mjini watakula nini na hamna mashamba[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hii inaitwa " wezi wanachapana makonde na mapanga, ilhali mwenye shamba ametulia tuli"
Wadada wa mujini wanajua kupigania ugali na mboga kwa nguvu sana
Hali ngumu sana kumbe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Style ya Former MP wa Kilombero , kazi kutajwa majina na wasanii , halafu ukiugua unaisumbua serikali kwani hukujikatia Bima ya Afya ya Class yako.Hao ndio wale wakitoka kwenye ubunge wanaanza kulia lia kuomba msaada, huku sasa hv pesa wanachezea
Daaah. Yule mzee nasikia alikua hatari kabisa. Na pale anasambaza ile video alikua ametoka kuuza nyumba kama 800M pesa akaenda kuichezea kamari yoteeStyle ya Former MP wa Kilombero , kazi kutajwa majina na wasanii , halafu ukiugua unaisumbua serikali kwani hukujikatia Bima ya Afya ya Class yako.
naona umewahi siti ya shemeji yanguHii story au kuna uhalisia?
hivi watu kama hawa ndo tunawapa dhamana ya jimboDaaah. Yule mzee nasikia alikua hatari kabisa. Na pale anasambaza ile video alikua ametoka kuuza nyumba kama 800M pesa akaenda kuichezea kamari yotee
Imetokea tu ila hii seat ngumunaona umewahi siti ya shemeji yangu
teh teh