Baby Mama na Girlfriend Wanamgombea Mume wa Mtu

Baby Mama na Girlfriend Wanamgombea Mume wa Mtu

Wadada wawili wa mjini ambapo mmoja kazalishwa na mh mbunge na mwingine ndo current girlfriend wa mheshimiwa wako kwenye vita kali ya maneno mpaka mmoja kusema ataita press kuongelea kila kitu kuhusu uhusiano wake na bebi mupya wa mbunge na mbunge pia.
Cha ajabu zaidi ni kwamba mbunge huyo ana mke mzuri mlokole wala hajui matendo anayofanya mumewe mpaka kufikia kugombewa na warembo wadada wa mjini.
Ni ajabu na aibu wanawake wazuri kuanza kukaa kumgombania mume wa mtu tena kwenye mitandao huku mkijivika ulokole.
Kwenye avatar ni wewe?
 
hivi watu kama hawa ndo tunawapa dhamana ya jimbo
teh kwa kweli hata sisi wa TZ tujichunguze wakati wa kutafuta watu wa kutuwakilisha
Wapiga kura wanakuaga hawajui ushenzi wa wabunge wao ndo tatizo.
 
Unaona wivu!!!!
Hapana. Wivu kwa mwanaume ambae nikimtaka kesho tu nampata maana i swala la kujua alipo. Ningemtaka ningemkula kabla hajakutana na hao wengine wote basi tu kipindi kile alikua kachoka sana (natania hata angekua na hela nisingemla bado)
 
Back
Top Bottom