jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
hongeraImetokea tu ila hii seat ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongeraImetokea tu ila hii seat ngumu
Yaan mama wee acha tu, mwenzio umeneja huku umenielemea hata sina hamu ndio maana naonekana kwa machale sana, nikishusha ntakuwa active tena.
Wanapenda vya dezo na mteremko..
Kwenye avatar ni wewe?Wadada wawili wa mjini ambapo mmoja kazalishwa na mh mbunge na mwingine ndo current girlfriend wa mheshimiwa wako kwenye vita kali ya maneno mpaka mmoja kusema ataita press kuongelea kila kitu kuhusu uhusiano wake na bebi mupya wa mbunge na mbunge pia.
Cha ajabu zaidi ni kwamba mbunge huyo ana mke mzuri mlokole wala hajui matendo anayofanya mumewe mpaka kufikia kugombewa na warembo wadada wa mjini.
Ni ajabu na aibu wanawake wazuri kuanza kukaa kumgombania mume wa mtu tena kwenye mitandao huku mkijivika ulokole.
Vyumq vimekaza mkuu. Wasipodanga mjini watakula nini na hamna mashamba
haki ila tujiangalie tena my dearWapiga kura wanakuaga hawajui ushenzi wa wabunge wao ndo tatizo.
Ajiandae kudhalilishwaSi ana hela.
Unaona wivu!!!!Yani ana mambo ya ajabu na aibu. Kipindi hana hela alikua very humble. Sasa hivi kazipata weeeeee mwanaume ndo kawa yeye. Sema anahonga sana bwana acha warembo wampambanie tu.
Asante dr mpenziOoh waaowww nsamaka huyooo. Hongera sana mamie
Mambo ya sheikh unatoa?Ni mimi eeh. Umenipenda?
Project ya Kuku ilibuma?Hela yenyewe ya ubunge sasa yakufanyia hayo
Hapana. Wivu kwa mwanaume ambae nikimtaka kesho tu nampata maana i swala la kujua alipo. Ningemtaka ningemkula kabla hajakutana na hao wengine wote basi tu kipindi kile alikua kachoka sana (natania hata angekua na hela nisingemla bado)Unaona wivu!!!!