Baby my ex hana pakuishi anaomba ajihifadhi hapa kwetu.

Baby my ex hana pakuishi anaomba ajihifadhi hapa kwetu.

unaweza ukaona hilo swali ni ngumu, lakini ukielewa ya kwamba demu wako ni ex wa mwingine utaona mambo ya kawaida tu . ningekuwa mm ningemruhusu na amkaribishe na game juu . mgeni anaistahili heshima bana. a
 
Duuh umetisha kaka mkubwa, na game juu!!!
Threesome au?
lol
 
Na mimi nilete ma ex wangu tuishi nao maana ni wengi wananitafuta?? Alisikika kidume mmoja akiongea kwa taratb huku akielekea zake nje
Lol,
Hapo itakua vita ya tatu ya dunia.
 
Mpenzi wako anakuambia kua ex wake amemcall na kumwambia hana pa kuishi anaomba msaada wenu wa hifadhi kwa muda ajipange.

Je utamjibu nini??
(Jibu kama wewe ndie mume/mke uliyeletewa hilo jambo na umpendae)
 
Back
Top Bottom