Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
- Thread starter
- #61
Kitendo cha yeye kukuambia, ujuwe wana mawasiliano ya mda sana. Huenda pia kitumbua kinaliwa bila wewe kujua.
Well, kama ni case yako culture gal najua mnakuwa na wivu nyie balaa. BTW, I'd like to have two chicks at ago, it's been my fantasy [emoji12][emoji12]
Hapo kwenye wivu hapooo ndio penyewee, aisee kwanza babymama hawezi hata kuleta maongezi ya ex wake maana ananijua nitakavyo react.
Two chicks, mbona inawezekana jichanganye tu maeneo na pesa yako lakini usije ukategemea uchukue mtu na rafiki yake utapigwa kisu.