Baby my ex hana pakuishi anaomba ajihifadhi hapa kwetu.

Mpenzi wako anakuambia kua ex wake amemcall na kumwambia hana pa kuishi anaomba msaada wenu wa hifadhi kwa muda ajipange.

Je utamjibu nini??
(Jibu kama wewe ndie mume/mke uliyeletewa hilo jambo na umpendae)
Kwa hyo kumbe unawasiliana na x wako bila mimi kujua eeh? Ili iweje?
 
Huyo wa kupelekwa Milembe, ana mtindio wa ubongo, ile kuthubutu ku take care your ex kwa mpenzi wako wa sasa, si ujasiri wala utu bali upunguani.
 
Mpenzi wako anakuambia kua ex wake amemcall na kumwambia hana pa kuishi anaomba msaada wenu wa hifadhi kwa muda ajipange.

Je utamjibu nini??
(Jibu kama wewe ndie mume/mke uliyeletewa hilo jambo na umpendae)
Lesbian kumbe na wewe unaE-X?
 
Aende wasaidiane kupata hifadhi. Mimi waniache mpaka mambo yangu yakae sawa nioe mwingine the wao waje niwape hifadhi banda la uani
 
Hahaha puppy nimeipenda hii,
daah umewaza mbali sana.
 
Back
Top Bottom