Baby shower ya Diamond na Tanasha

Baby shower ya Diamond na Tanasha

Haters wa DP hawajapita kwenye uzi huu? Nauliza tu 😜😜😜

 
Kijana huijui Tanzania vizuri Tanzania wanapenda udaku ile mbaya hii event YouTube pekee imetazamwa 400k+ comments zilikuwa elfu 50+ na atujazungumzia na wengine walioangalia kupitia wasafitv na imetrend kwenye page karibia zote za udaku utasemaje watanzania wapo busy?

Yaani wewe ukipita page zenu za udaku hizo una conclude Watanzania wanapenda udaku? unajua Tanzania ina watu wangapi? Au unadhani Dar es Salaam ndio Tanzania? Muache ujinga wa kugeneralize mambo.
Haya kama hujui Tanzania ina watu kama 48m hivi, Dar Es Salaam ina watu kama 6m hivi, haya tuchukulie ambalo ni jambo haliwezekani asilani, kuwa watu wote wa Dar Es Salaam walifuatilia huo udaku wako, je unadhani bado unaweza kufikia tamati kuwa watanzania wote wanapenda udaku?
Tumieni akili, waliofuatilia hawafiki hata 600k wewe unasema Watanzania. Tutumie akili kidogo jamani.
 
nimeamin pexa inahexhma yapekee xana... ukiwa nayo utazungumziwa2 hata kama hutak
 
Ila maisha bhana, Mondi ana roho sana, yaani mamaake anakumbatiwa na Ben ten mbele yake, na mama yake anahudhuria party ya mwanae ambayo watu wamevaa kama Vera Sidika..

Sema fresh, ni maisha yake.
 
Back
Top Bottom