Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Ndio wazirii wa mauzo ya vitengee

UTABIRI WA HALI YA HEWA

Ndugu makamanda wa jukwaa hili karibuni katika utabiri wa hali ya hewa unaoletwa kwenu na kamanda wa kikosi cha kutuliza ghasia. Hali ya hewa ilionesha kuchafuka majira ya saa 4 asubuhi hadi saa 1 jioni kutokana na pepo za kaskazi zilizovuma kwa kasi kuelekea kusini mwa JF liliko jukwaa la celebrities. Pepo hizi zilivuma kwa kasi sana hadi kuelekea kutaka kulizamisha jahazi la celebrities. Ilipofika majira ya saa 1 jioni ndipo alipotokea nahodha mmoja kutoka maeneo ya kaskazini ambae bila kujua hili wala lile akiwa akiranda randa kwenye bahari ya JF aliliona jahazi hili likitaka kuzama na hivyo kujitolea kuliokoa jahazi hili. Ni kwa msaada wa nahodha huyu mgeni jahazi liliweza kutulizwa dhidi ya pepo kali za kaskazi.

Hali ya usiku huu inaonesha kutakuwa na upepo kiasi lakini si wa kuweza kuzamisha jahazi kwani hali itakuwa ya utulivu. ILA hapo kesho ifikapo mida ya saa 5 asubuhi hadi saa sita mchana hali inaweza kubadilika kutokana na kimbunga ambacho kitatokea pande zote za dunia na hivyo kuliyumbisha jahazi. Mamlaka ya hali ya hewa inamuomba nahodha aliyekiokoa chombo leo asikae mbali ili asaidie kuokoa jahazi hili.

Nikiripoti kutoka mamlaka ya hali ya hewa mimi ni MBN kikosi cha kutuliza ghasia
 
VODACOM TANZANIA TUNASHUKURU KWA EXCLUSIVE CONTRACT PALE Home, kuna snitch mmoja alinionesha hela mnayompa CEO, mko juu VIBAY MNO,! Sio kubanana matangazo yenu viblog havijulikani matangazo juu mpaka chini! TWISA YOU ARE THE MAN, NA MKEO ELIONORA.! Na Mwammy ndo ulituachia hili contract,!
 
Last edited by a moderator:
Na Mie nilikuwa najiuliza hivyo hivyo ila baada ya one time kwenda huko nchi za wenzetu aisee bidada anasoko hasa kipindi cha summer vile vikaptula vya vitenge na vigauni anauza kweli

mhhhhhhh nguo zake nyingine ziko bomba hayo magauni ninayozungumzia ushawahi kuyaona grandma?????? ni marefu hatareeee ni zaidi ya oversize
 

aise umetisha umenifurahishaje nimecheka hadi chozi huu utabari nauamini asilimia mia waenda kujipanga waje
 
Angeenda kujifungulia kule Mayo Clinic ya Rochester, Minnesota si ndio ingekuwa balaa!.

Yaani we acha tu! Sie ambao tushaishi Marekani kwa miaka 20 tunaona hayo mengine kama ushamba tu.

Mayo Clinic wanaendaga marais na wafalme huko. Johns Hopkins ndo hospitali nambari moja Marekani na nadhani hata duniani.

But still, kuzalia kwenye hospitali aliyozalia mtu maarufu wala si ishu kabisa kwa Marekani. I mean, what's the big deal?

Watu wanaenda kutibiwa ma-STD hapo Cedars-Sinai sasa leo mbongo kwenda kuzalia hapo ndo iwe nongwa?

Mbona wapo wabongo wengine waliokwisha zalia hapo na wala haikuwa big deal....

Watu wanavyoshoboka utadhani hiyo hospitali ni exclusive mno kumbe wala siyo hivyo.

Ni sawa na mimi nianze ku-plug eti ile Quiktrip ya pale Dunwoody Place & Roberts Drive ni bab kubwa kisa tu Diddy na Akon nao huwa wanajaza mafuta kwenye Lamborghini zao hapo maana nami ndo gas station yangu hiyo.

It's not a big deal to give birth at Cedars-Sinai. It's not a status symbol. But I get it as to why some people think it is such a big deal.....I get it.
 
Blog zingine ZILIBORESHWA ILA HALI NDO IMEZIDI KUWA MTAFARUKU! Njaa kali mpaka vitangazo vya kipaza sauti! HALOOOOOOOOO,! HAHAHAHAAAAAAAA,! NJAA MBAYA NA KUKOSA BAHAYI NAKO!
Riziki anagawa Mungu binadamu yao maneno tu! Halooooooo!

JIWE LIMERUSHWA GIZANI HILO!
 

mwaga data sijakusoma bado lol
 
Last edited by a moderator:
Afu grafuation wwngine hamkuiona ngoja nikaichukue mburudike kwa raa zenu! HALOOOOO YA SIX SITER.!
 
aise umetisha umenifurahishaje nimecheka hadi chozi huu utabari nauamini asilimia mia waenda kujipanga waje

kimbunga kesho lazima kiwepo manake kwa kazi aliyofanya nahodha leo pepo za kaskazi lazima ziongezeke mara 100 kuhakikisha jahazi linabinuka
 

Utafanya watu wafeeeeee miaka 10000000000000090 like likeeee mwagaa dataa tupe na vyuo vya maana sieee maana tunaletewa master za madrasa hapaaa kiriuuu
 
Kitu hicho! WAPIIIII MAMA NA KATI YA CBE.? Ngoja nikaibe na Devota Diva baby shower tuone baby shower za maana mjini humu! HALOOOOOOOO,! YA PICHA NA MNATO,!
 

Attachments

  • 248.JPG
    19.7 KB · Views: 78
  • grad6.jpg
    23.3 KB · Views: 84
  • 373.JPG
    19.9 KB · Views: 77
  • 175.JPG
    12.4 KB · Views: 76
Anachengaaa anaamua kua kama mpoto maana mpoto hudhan kaeleweka kumbe anajielewa mwenyewee snipa

hahahahahaha sijampata ceo wake huyu huyu wa LA maaana lara naye kwa kujikomba hajambo yupo kwa wote lol mradi uwe na mkwanja tu
 
Last edited by a moderator:
hahaha tatizo unafumba fumba ceo wako huyu huyu wa la amah
Miss Neddy karibu mjini ya Mjini ni mengi chungulia kwanza GRADUATION HAPO! Usuuze macho, lile lilirushwagizani hata tochi haikusaidii kumulika?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…