Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
hahahaha chezea kutafuta kiki weye
Mamaaa umaarufu nyanyaaa aiseee siuweziiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha chezea kutafuta kiki weye
hahaha hongereni mi vingine namsapoti kimtindo mange lakini yale magauni ya kitenge mhhhh najiulizaga mtu ananunua avae wapi
Ndio wazirii wa mauzo ya vitengee
Na Mie nilikuwa najiuliza hivyo hivyo ila baada ya one time kwenda huko nchi za wenzetu aisee bidada anasoko hasa kipindi cha summer vile vikaptula vya vitenge na vigauni anauza kweli
UTABIRI WA HALI YA HEWA
Ndugu makamanda wa jukwaa hili karibuni katika utabiri wa hali ya hewa unaoletwa kwenu na kamanda wa kikosi cha kutuliza ghasia. Hali ya hewa ilionesha kuchafuka majira ya saa 4 asubuhi hadi saa 1 jioni kutokana na pepo za kaskazi zilizovuma kwa kasi kuelekea kusini mwa JF lililo jukwaa la celebrity. Pepo hizi zilivuma kwa kasi sana hadi kuelekea kutaka kulizamisha jahazi la celebrities. Ilipofika majira ya saa 1 jioni ndipo alipotokea nahodha mmoja kutoka maeneo ya kaskazini ambae bila kujua hili wala lile akiwa akiranda randa kwenye bahari ya JF aliliona jahazi hili likitaka kuzama na hivyo kujitolea kuliokoa jahazi hili. Ni kwa msaada wa nahodha huyu mgeni jahazi liliweza kutulizwa dhidi ya pepo kali za kaskazi.
Hali ya usiku huu inaonesha kutakuwa na upepo kiasi lakini si wa kuweza kuzamisha jahazi kwani hali itakuwa ya utulivu. ILA hapo kesho ifikapo mida ya saa 5 asubuhi hadi saa sita mchana hali inaweza kubadilika kutokana na kimbunga ambacho kitatokea pande zote za dunia na hivyo kuliyumbisha jahazi. Mamlaka ya hali ya hewa inamuomba nahodha aliyekiokoa chombo leo asikae mbali ili asaidie kuokoa jahazi hili.
Nikiripoti kutoka mamlaka ya hali ya hewa mimi ni MBN kikosi cha kutuliza ghasia
Angeenda kujifungulia kule Mayo Clinic ya Rochester, Minnesota si ndio ingekuwa balaa!.
avae akiwa anaenda kulima loh
Ndo ujifunze kusoma inbetween the lines ndo utafaidi umbe wa mujini?!mwaga data sijakusoma bado lol
Ndo ujifunze kusoma inbetween the lines ndo utafaidi umbe wa mujini?!
aise umetisha umenifurahishaje nimecheka hadi chozi huu utabari nauamini asilimia mia waenda kujipanga waje
Yaani we acha tu! Sie ambao tushaishi Marekani kwa miaka 20 tunaona hayo mengine kama ushamba tu.
Mayo Clinic wanaendaga marais na wafalme huko. Johns Hopkins ndo hospitali nambari moja Marekani na nadhani hata duniani.
But still, kuzalia kwenye hospitali aliyozalia mtu maarufu wala si ishu kabisa kwa Marekani. I mean, what's the big deal?
Watu wanaenda kutibiwa ma-STD hapo Cedars-Sinai sasa leo mbongo kwenda kuzalia hapo ndo iwe nongwa?
Mbona wapo wabongo wengine waliokwisha zalia hapo na wala haikuwa big deal....
Watu wanavyoshoboka utadhani hiyo hospitali ni exclusive mno kumbe wala siyo hivyo.
Ni sawa na mimi nianze ku-plug eti ile Quiktrip ya pale Dunwoody Place & Roberts Drive ni bab kubwa kisa tu Diddy na Akon nao huwa wanajaza mafuta kwenye Lamborghini zao hapo maana nami ndo gas station yangu hiyo.
It's not a big deal to give birth at Cedars-Sinai. It's not a status symbol. But I get it as to why some people think it is such a big deal.....I get it.
Anachengaaa anaamua kua kama mpoto maana mpoto hudhan kaeleweka kumbe anajielewa mwenyewee snipa
Miss Neddy karibu mjini ya Mjini ni mengi chungulia kwanza GRADUATION HAPO! Usuuze macho, lile lilirushwagizani hata tochi haikusaidii kumulika?hahaha tatizo unafumba fumba ceo wako huyu huyu wa la amah