Juzi insta kistroller kimerushwa na MTOTO NDANI sijui aliazima tena kwa shosti yake? Cha kuazima hakisitiri makalio?!Kama aliona details kwa Rafiki yake je?guys mnamjua limbukeni kimambi au mnamsikia.?
Hahaaaaaaaa! Mimi ni SHABIKI MAANDAZI NATIWA HAMIRA KIDOGO NAUMUKA SINIA ZIMA, ! Upo hapo bibi?
Tuheshimiane niko kwa Mange tu! Na nimenza kujikomba kwa Moni Finance BAAAAAAAAAAAASSS,! Na diva sababu ni mkongwe na kiruaha rusha kibaby showwr chake kishkaji!
sasa unataka kusema nini hvo vitu vya kawaida eti hospital aliyojifungulia kim huyo ndo ulimbukeni angekuwa nazo aanzishe basi ma botique kama ya kina kardashian to me mange wa kawaida sana honestly wenye nacho wapo kimya K- lyn mwenyewe hamkamati angekuwa anatembeza vitenge awe ana viuzia huko basi malimbukeni bwana
Rusha kwanza la JUMBA LA DRUG LORD,! QUEEN SHAMMY HERSELF LINIPE UAINGIZI MIE,! Halooooooo! Mi nitarusha LA KAJALA MASANJA,! HAhahaaaaaaa!
Nyonyo ileeeee
Kwapa limeloa jasho
Hahaaaa! Mi sitaki makuu nataka niwe tu MBEBA POCHI WA MONI AKIZUNGUKA THE WORLD KAMA STUDY ANYOENDA MAEEKANI KARIBUNI NIMBEBE POCHI NIENJOY MA FINANCE YALE, ! Roho yangu kwatuuuuuuu!Weee acha hizoooo unajikombaaa hahhhahhha hahhha kazana utakatiwaa viza ukatembeee
Alaaa kumbe ni hivyo! Kama ni hivyo basi ushamba nao ni janga la kitaifa!
Aaaaa weka jumba lakeee tu Kajala hapa haongelewiii,la Shami unalijuaa tuwekee tusafishe macho
YAAN UKINIWEKEA JUMBA LA MANGE NTAKUAMINIAA KI K
Juzi insta kistroller kimerushwa na MTOTO NDANI sijui aliazima tena kwa shosti yake? Cha kuazima hakisitiri makalio?!
Sio promo KILA MTU ANAELEZEA UPANDE WAKE WA STORY MBALI MBALI,! Hio ndo version yangu! BABY SHOWER COMMING,!Sa mbona promo nyingi?
Alaaa kumbe ni hivyo! Kama ni hivyo basi ushamba nao ni janga la kitaifa!
LA SHAMMY SI KAHAMIA MBEZI SIJALIONA,! Nalijua la baba Iqra tu! Niwekee mwenzio na mie nitakuwekea la kimambi na stair case yake ya kupihia picha! HALOOOOOO,!
Sio promo KILA MTU ANAELEZEA UPANDE WAKE WA STORY MBALI MBALI,! Hio ndo version yangu! BABY SHOWER COMMING,!
huo ni moto wa kifuu haujawii kuisha! Hoja hamna ni zile zile story za ushabiki maandazi bila fact.
DRAG LORD JUMBA LAKE SIRI WEEEH,! Hahahaaaaaa! Haloooo ya Mbezi beach!Navyokujuaa lingekuwepo ungeweka hata bila kuambiwaaa aisee
Hajafanya baby shower kwani siri.? Hafanyagi kuanzia Bhoke! Labda ya Itika kama wamjua ndo baby shower ilistua stua Us kidogo.Tuwekee baby shower ya Mange banaa ya wengine unachenga hojaa bibiee
Kipiiiii? Maana kilikuwa KIMEKUNJWA PEMBENI! Weka picha ulichoona wewe na ulicjonunua manake unatudanganya LIVE,!