Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Kama aliona details kwa Rafiki yake je?guys mnamjua limbukeni kimambi au mnamsikia.?
Juzi insta kistroller kimerushwa na MTOTO NDANI sijui aliazima tena kwa shosti yake? Cha kuazima hakisitiri makalio?!
 
Tuheshimiane niko kwa Mange tu! Na nimenza kujikomba kwa Moni Finance BAAAAAAAAAAAASSS,! Na diva sababu ni mkongwe na kiruaha rusha kibaby showwr chake kishkaji!

hahhhahah tuliza Munkari mi sina team humu afu ningekuwa sijaja jfpati ningedhani we ndo mange hahahahaha ni zaidi ya advocate
 
Last edited by a moderator:
sasa unataka kusema nini hvo vitu vya kawaida eti hospital aliyojifungulia kim huyo ndo ulimbukeni angekuwa nazo aanzishe basi ma botique kama ya kina kardashian to me mange wa kawaida sana honestly wenye nacho wapo kimya K- lyn mwenyewe hamkamati angekuwa anatembeza vitenge awe ana viuzia huko basi malimbukeni bwana

Lara nae atakua limbukeni tu kama mange
 
Rusha kwanza la JUMBA LA DRUG LORD,! QUEEN SHAMMY HERSELF LINIPE UAINGIZI MIE,! Halooooooo! Mi nitarusha LA KAJALA MASANJA,! HAhahaaaaaaa!

Aaaaa weka jumba lakeee tu Kajala hapa haongelewiii,la Shami unalijuaa tuwekee tusafishe macho
YAAN UKINIWEKEA JUMBA LA MANGE NTAKUAMINIAA KI K
 
Weee acha hizoooo unajikombaaa hahhhahhha hahhha kazana utakatiwaa viza ukatembeee
Hahaaaa! Mi sitaki makuu nataka niwe tu MBEBA POCHI WA MONI AKIZUNGUKA THE WORLD KAMA STUDY ANYOENDA MAEEKANI KARIBUNI NIMBEBE POCHI NIENJOY MA FINANCE YALE, ! Roho yangu kwatuuuuuuu!
 
Alaaa kumbe ni hivyo! Kama ni hivyo basi ushamba nao ni janga la kitaifa!

Ushamba ni mzigo wa taifaa,watu waelimike sio kujikomba tu kwa Nyan kisa anaishi US hee wengine wakirushaa hapa mambo yao mbonaa Mange atafunga blog
 
Aaaaa weka jumba lakeee tu Kajala hapa haongelewiii,la Shami unalijuaa tuwekee tusafishe macho
YAAN UKINIWEKEA JUMBA LA MANGE NTAKUAMINIAA KI K

LA SHAMMY SI KAHAMIA MBEZI SIJALIONA,! Nalijua la baba Iqra tu! Niwekee mwenzio na mie nitakuwekea la kimambi na stair case yake ya kupihia picha! HALOOOOOO,!
 
Juzi insta kistroller kimerushwa na MTOTO NDANI sijui aliazima tena kwa shosti yake? Cha kuazima hakisitiri makalio?!

Asa hicho mbona ni cha kawaidaa hata mi nishanunua kizuri kuliko hata hichooo, yaan lara unaniabisha leooo lol
 
Last edited by a moderator:
LA SHAMMY SI KAHAMIA MBEZI SIJALIONA,! Nalijua la baba Iqra tu! Niwekee mwenzio na mie nitakuwekea la kimambi na stair case yake ya kupihia picha! HALOOOOOO,!

Navyokujuaa lingekuwepo ungeweka hata bila kuambiwaaa aisee
 
Asa hicho mbona ni cha kawaidaa hata mi nishanunua kizuri kuliko hata hichooo, yaan lara unaniabisha leooo lol
Kipiiiii? Maana kilikuwa KIMEKUNJWA PEMBENI! Weka picha ulichoona wewe na ulicjonunua manake unatudanganya LIVE,!
 
Sio promo KILA MTU ANAELEZEA UPANDE WAKE WA STORY MBALI MBALI,! Hio ndo version yangu! BABY SHOWER COMMING,!

Tuwekee baby shower ya Mange banaa ya wengine unachenga hojaa bibiee
 
Tuwekee baby shower ya Mange banaa ya wengine unachenga hojaa bibiee
Hajafanya baby shower kwani siri.? Hafanyagi kuanzia Bhoke! Labda ya Itika kama wamjua ndo baby shower ilistua stua Us kidogo.
 
Kipiiiii? Maana kilikuwa KIMEKUNJWA PEMBENI! Weka picha ulichoona wewe na ulicjonunua manake unatudanganya LIVE,!

Sasa mie sitafuti umaarufu uchafu ndio tatizoo,weka si kila kitu anapiga pichaaa waona hayaa lol
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom