Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Hzo gari za kukodi ndo kuringishia?
Duuu bongo ASA HV vogue wanakodisha so ukipigia picha nn utatuletea humu?sikujua kama Lara moko limbukeni kiasi hiki
NACHOAMINI IS NOT IMPORTANT! Imani ni kujipa moyo tu, HATA NINGEAMINI KAZALIA CHINI YA MTI WILL IT CHANGE ANYTHING?
Aaaaa wapiii alisema atafanyaaa hahhha alikosa wa kuwaalikaa ninii halaf team zake zote hoiii haziweki paa kwendaa
Juzi insta kistroller kimerushwa na MTOTO NDANI sijui aliazima tena kwa shosti yake? Cha kuazima hakisitiri makalio?!
BABY SHOWER ZWNYE HADHI YA UDRAG LORD NI KAMA HIZI,! Kitu cha MUKE YA ZUNGU LA SPANISH,!
Wanaume je tunaalikwa kwenye hii baby shower?au tukae chonjo?
CC Dinazarde, miss neddy, lara 1, na wengineo
Sijui kwann wabongo tunakua malimbukeni kiasi hiki
We kwako umeona Sinai ni exclusive sana?
What about john Hopkins may b ?
U guys huyu manger kawapa nn?
MKEO KAZALIA IPI HAPO.? Kiroho safi tu wewe usie limbukeni
Sanaa ishi na watu upate kituuu
Hahaaaaaaaa! Nimekipenda nafsi yangu imekikubali, KWANI DHAMBI.?Do u think u can't buy kistroller au sababu ni mange kachange na stroller details kuanzia sn-number to specification basi unaona big deal?ushamba kweli janga la kitaifa
Hajafanya baby shower kwani siri.? Hafanyagi kuanzia Bhoke! Labda ya Itika kama wamjua ndo baby shower ilistua stua Us kidogo.
Watu MAJUNGU TUUUU,! Wanamlisha? Toka agombane nao lini kakosa kwenda chooni? Hawampunguzii kitu!well said hao mafans wake hawamwambii wana mwacha tu kupakana mafta kwa mgongo wa chupa
Uliiiona? Usiniambie ulialikwa na wewe? Hahaaaaaaaa! Ilistua kwa uwezo wake kajitahidi kumfanyia mwanae kitu!Imshtue nani us?
Hakuna malimbukeni kama. Nyie
Eee tena za vitenge na zingine ambazo ashazivaaa,ndio wanapewaa
Hili swala tuliweke kapuni kwanza!Lara ni kweli Madame anabwia lakini lake ni lile original?
angealikwa nani hiyo baby shower?? mjini kagombana na kila mtu, huko LA anaogopa kuzoeana na wabongo coz watasema real life yake wakishamjua as ana brag sana...yuko kama classmate wangu mmoja kipindi maji ya viroba yanauzwa alikuwa anachukua chupa tupu ya maji ya kilimanjaro au uhai anachukua viroba vya 50 50 anamiminia mle ili aonekane nae anakunywa maji ya chupa. Huyo ndio bibi mange...anaishi kimaigizo mno na kukuza hata yale ya kawaida
Mi pia nimeshangaa sana leo mpnz. yani nimesikitika sana. ila kiboko yake aliweka kambi hapa mamaa ya town akapotea ghafla