YAANI NIMEAMINI MANGE ANAKUBALIKA BONGO KIASI KWAMBA WANAWAKE WENZAKE WANAJIKUTA WANAMUONGELEA KILA WANAPOPATA CHANCE WERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA MANGE JUUUUUUU, MUKE YA MUZUNGU MBUNGE WA KAWE MTARAJIWA 😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:
Yaani kweli si majungu lakini kweli wanaonekana wazee,au too much cosmetics inachangia?na inaonekana wala hawatak kukubali kua umri umewatupa mkonoAsante make up
Si chunusi hizo
Ila alipendeza
Ingawa naona wamezeeka kweli miaka inakwenda
Yeye mwenyewe alisemaaa si kila kidogo anatangazaa,kina K lyn kimyaa mambo makubwaa hatare na yupo bongoo,na kwa nini wanahama hamaa mzungu ana kazi ganii yulee hahhhahhahha kuna wabongo wana pesaa hata mmewe hata robo hagusiiiii,na siku zote wenye nazo hua kimyaaaaa angekua na pesa angehangaika na vitengee acha hizo Lara yaan,hebu tuambiee ana asset zip hapa bongo ?????tofauti na nyumba ya urithi tena ina ugomvi ndio maana anafikiaa hotelii,umeona kitu alichoshushaa Millen ???
Wale wa BABY SHOWER ITAMFUNIKA MANGE MIAKA 20000000 MKUJE PANDE HII.! Ndp baby shower hii nilioiona au ? KhAaaaaaaaaa! Mwe! Mwe! Mwe! Nisichume dhambi! Sembe halitoki siku hizi border zimetight eeeeeh? Mmmmmh!
Devota diva bado baby shower yako inatingisha! ALL YOU HAVE TO EO IS JUST GOOGLE DEVOTHA DIVA BABY SHOWER,!
Gyver La Trend: MORE PICTURES FROM DEVOTA DIVAS BABY SHOWER!! - http://ellygyverlatrend.blogspot.com/2013/10/more-pictures-from-devota-divas-baby.html?m=1
mh baby shower yake katisha kwakweli ilipendeza sana kafunika
Sasa hapa na mie mmeniambukiza umbeya...... Haya dada wa US ndo ndani tena? Mwe... Mtaa huu mgumu kuishi.Kazi ipo
Watatoboana macho!
nabip tu cku hizi siko sawa kiviiile...ila nimekuja naona team ushuzi wameanzaYaan siku hapatikanii huyooo,hako ka avatar
Hahaaaaaahaaaa! Hayaaaa! NYIE WA KIBABY CHA SHOWER ............... NDO MNA HELA SANAAAA! Halooooooooo YA NGANO,! Team HATUCHOVYI! Inahuuuu KUJIAIBISHA MJINI,? Moni finance! Mamaa ya Maktech! Maaa Prado 3! Muke ya Josee IM REALLY DISAPOINTED IN YOU!Hehehehe mna hela wakati mnatembea na roba mjini?? Nguo mnauzia kwenye viambaza? Kodi hamlipi.....shoga yenu anevurugwa. Ana hela ya mboga ila hana jipya wala ls zaidi. Km strokke ya M. 2 ndo utajiri basi sawa....! Punguzeni ulimbukeni kusifia upumbavu
Hahaaaaaahaaaa! Hayaaaa! NYIE WA KIBABY CHA SHOWER ............... NDO MNA HELA SANAAAA! Halooooooooo YA NGANO,! Team HATUCHOVYI! Inahuuuu KUJIAIBISHA MJINI,? Moni finance! Mamaa ya Maktech! Maaa Prado 3! Muke ya Josee IM REALLY DISAPOINTED IN YOU!
Hahaaaa! TEAM KIBABY SHOWER MNA MAMBO! Piteni kwanz www.8020fashionsblog.com mkaone kama tunatia chumvi au yaliyomo yamo!nabip tu cku hizi siko sawa kiviiile...ila nimekuja naona team ushuzi wameanza
Hahaaaa! TEAM KIBABY SHOWER MNA MAMBO! Piteni kwanz www.8020fashionsblog.com mkaone kama tunatia chumvi au yaliyomo yamo!
huyu mlimaji kutokq pwani hata si mkulima hyu! Toka lini wa pwani akawa mkulima? Pwani zao ngoma. Kwanza hana jipya hadithi ni zile zile za stroller ya strokke...hawana jipya.
haha sisi hatujasema tuna hela....ila nyie ndo nawashangaa kushabikia vitu vya bei cheee tu, watu wanakula chips kavu, watu kutwa na rumbesa mjini, strokke M.2 tu na hyo bima ndo ya nyie kupiga kelele nyiiiiiiingi khaaa kwa mtonyo gani haswaaaa ...narudia tena shoga yenu ana za mboga na si vinginevyo kama mnavyotulazimisha tuamini.