Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Acheni biashara ya kutuumizia wadogo zetu / watoto wetu na mibiashara yenu ya sembe hiyo jamani kisa mtese mjini lol , mungu ananiona
 
YAANI NIMEAMINI MANGE ANAKUBALIKA BONGO KIASI KWAMBA WANAWAKE WENZAKE WANAJIKUTA WANAMUONGELEA KILA WANAPOPATA CHANCE WERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA MANGE JUUUUUUU, MUKE YA MUZUNGU MBUNGE WA KAWE MTARAJIWA 😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:

you knw sikiu zote nabii hakubaliki kwao, lakini bakora wanacharazwa kimya kimya.
 
Wale wa BABY SHOWER ITAMFUNIKA MANGE MIAKA 20000000 MKUJE PANDE HII.! Ndp baby shower hii nilioiona au ? KhAaaaaaaaaa! Mwe! Mwe! Mwe! Nisichume dhambi! Sembe halitoki siku hizi border zimetight eeeeeh? Mmmmmh!

Devota diva bado baby shower yako inatingisha! ALL YOU HAVE TO EO IS JUST GOOGLE DEVOTHA DIVA BABY SHOWER,!
 
Asante make up

Si chunusi hizo

Ila alipendeza

Ingawa naona wamezeeka kweli miaka inakwenda
Yaani kweli si majungu lakini kweli wanaonekana wazee,au too much cosmetics inachangia?na inaonekana wala hawatak kukubali kua umri umewatupa mkono
 
Yeye mwenyewe alisemaaa si kila kidogo anatangazaa,kina K lyn kimyaa mambo makubwaa hatare na yupo bongoo,na kwa nini wanahama hamaa mzungu ana kazi ganii yulee hahhhahhahha kuna wabongo wana pesaa hata mmewe hata robo hagusiiiii,na siku zote wenye nazo hua kimyaaaaa angekua na pesa angehangaika na vitengee acha hizo Lara yaan,hebu tuambiee ana asset zip hapa bongo ?????tofauti na nyumba ya urithi tena ina ugomvi ndio maana anafikiaa hotelii,umeona kitu alichoshushaa Millen ???

Hahaaaaa! NYUMBA YA NINI WEWE HUKU MACHAKANI.??? Mwenzio alisema WAMENUNU NYUMBA LA WANARENOVATE, ! Machakani inabidi mjenge nyie mnaoishi nchi za watu kama digi digi hamna karatasi wala nini mnasubiri ile za mwizi 40! Ila mwenzenu URAIA UHAKIKA, ! WANAE WANA UHAKIKA WA THE AMERICAN DREAM,! Bibi yao ana uwezo si ajabu wakaachiwa TRUST FUND, ! Tutahama mjini humu! Watarithi nyumba ya babu jst a matter of time! Ndo aje kujisumbua saka nyoka huku? Atakuwa mwehu!

Millen lazima ashushe, HANA FUTURE MAREKANI na AMERICAN DREAM ANAISOMA RU HUMU, ! Wote na Odemba aliebahatika zungu choka mbaya. Mwammy ndo ANA PROPERTY/REAL ESTATE MIKOCHENI worth 3B Yes i said B for Billion acha hao unaowataja vijumba tu.

Mzungu yule pale kwao, ana privillages kibao, ata akiwa mfagia bustani benefit kibao, sio nyie mnaenda ulaya adu mnazaa na wapopo au negro basi inakuwa purukushani. MashauI kama yale michosho tu. Klyn usiyaongelee coz sitaki shari mie.
 
Wale wa BABY SHOWER ITAMFUNIKA MANGE MIAKA 20000000 MKUJE PANDE HII.! Ndp baby shower hii nilioiona au ? KhAaaaaaaaaa! Mwe! Mwe! Mwe! Nisichume dhambi! Sembe halitoki siku hizi border zimetight eeeeeh? Mmmmmh!

Devota diva bado baby shower yako inatingisha! ALL YOU HAVE TO EO IS JUST GOOGLE DEVOTHA DIVA BABY SHOWER,!

Gyver La Trend: MORE PICTURES FROM DEVOTA DIVAS BABY SHOWER!! - http://ellygyverlatrend.blogspot.com/2013/10/more-pictures-from-devota-divas-baby.html?m=1
 
Hehehehe mna hela wakati mnatembea na roba mjini?? Nguo mnauzia kwenye viambaza? Kodi hamlipi.....shoga yenu anevurugwa. Ana hela ya mboga ila hana jipya wala ls zaidi. Km strokke ya M. 2 ndo utajiri basi sawa....! Punguzeni ulimbukeni kusifia upumbavu
 
Hahaaaaaahaaaa! Hayaaaa! NYIE WA KIBABY CHA SHOWER ............... NDO MNA HELA SANAAAA! Halooooooooo YA NGANO,! Team HATUCHOVYI! Inahuuuu KUJIAIBISHA MJINI,? Moni finance! Mamaa ya Maktech! Maaa Prado 3! Muke ya Josee IM REALLY DISAPOINTED IN YOU!
 
haha sisi hatujasema tuna hela....ila nyie ndo nawashangaa kushabikia vitu vya bei cheee tu, watu wanakula chips kavu, watu kutwa na rumbesa mjini, strokke M.2 tu na hyo bima ndo ya nyie kupiga kelele nyiiiiiiingi khaaa kwa mtonyo gani haswaaaa ...narudia tena shoga yenu ana za mboga na si vinginevyo kama mnavyotulazimisha tuamini.
 
huyu mlimaji kutokq pwani hata si mkulima hyu! Toka lini wa pwani akawa mkulima? Pwani zao ngoma. Kwanza hana jipya hadithi ni zile zile za stroller ya strokke...hawana jipya.

pamenoga leo hapa hahhaha ngoja nikae na popcorn zangu hakikishenu kubwa la maadui risasi yake inaishiwa bunduki (sijachapia) hha hahahaha
 
haha sisi hatujasema tuna hela....ila nyie ndo nawashangaa kushabikia vitu vya bei cheee tu, watu wanakula chips kavu, watu kutwa na rumbesa mjini, strokke M.2 tu na hyo bima ndo ya nyie kupiga kelele nyiiiiiiingi khaaa kwa mtonyo gani haswaaaa ...narudia tena shoga yenu ana za mboga na si vinginevyo kama mnavyotulazimisha tuamini.

Hamjasema mna hela nyie SI NYIE NDO TIMU HAMCHOVI.??? NO FAKE ZONE,! Mnavaa tanzanite, saphire na ehuby?. We treni umeidandia kwa mbele hujajua chanzo kizima! Google TEAM HATUCHOVYI,!

Lazima tupige kelele WATU STROLLER MADE IN CHINA KILA SIKU MNAEUSHA INSTA,! Afu mnajifanya ya mwenzenu aliojikamua mwanae apate luxury sio ishu sanaaa! Nyooookolosti! BIMA MNAYOOOOO.? Au mnaongea tu mradi kuosha vinywa! Karatasi zenyewe za kuunga unga huko kwa watu itakuwa bima?

Mr. SEMBE KAJALA ANAMCHUNA SANAA JAMANI HE IS A DISGRACE TO SEMBE DEALERS,! Ndo nini kile? HAO LIMEWASHIKA SHUUUUU,!
 
  • Thanks
Reactions: Lis
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom