Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
pamenoga leo hapa hahhaha ngoja nikae na popcorn zangu hakikishenu kubwa la maadui risasi yake inaishiwa bunduki (sijachapia) hha hahahaha
huo ni moto wa kifuu haujawii kuisha! Hoja hamna ni zile zile story za ushabiki maandazi bila fact.
wewe una fact zipi? we mwenyewe mshabiki maandazi.
Online business is the FUTURE, ! Maduka saizi yakina Sintah ili wachimbie dawa vizuri! Sisi tuko DIGITALI,! E business ndo habari ya dunia kwa sasaHahaha lara 1 ujue siku nyingi hatujakutana huku jukwaani....hahaha ila fungueni duka khaaa inahuu kutembea na roba na kujibanza upenuni?
Online business is the FUTURE, ! Maduka saizi yakina Sintah ili wachimbie dawa vizuri! Sisi tuko DIGITALI,! E business ndo habari ya dunia kwa sasa
Online business is the FUTURE, ! Maduka saizi yakina Sintah ili wachimbie dawa vizuri! Sisi tuko DIGITALI,! E business ndo habari ya dunia kwa sasa
Jeshi la m2 1 hili... sisi kanuni yetu ni never surrender hata km uko peke yako kaz lazma iendelee Watakukuta mbele kwa mbeke
FACTSNyie ndo mnasema bibi yenu yuko juu...ili ikubalike ni vyema mlete fact za nini anamiliki ili aingie kwenye list ya watu wenye hela km ambavyo mnalazimisha iwe. Otherwise wewe ni shabiki ubwabwa tu tena ule wa naulidi usio na mualiko. Yes narudia tena KM HUNA FACT WW NI SHABIKI UBWABWA
na kule chanika anaendaga kusali?? Km kuroga yy ndo mrogaji mkubwa. Bibi wewe usitujazie nzi hana cha kuonesha zaidi ya stroller. Mashauzi meeeeengi vifaa haba mkaage kimya tu. Tuendeleze libeneke kesho mie nalaza mbavu zangu.waeleze hao hawajui, aonyeshe mali zake hadharani anazomiliki ili wamroge?hospitali tu alojifungulia watu roho zinawatoka sembuse mali anazomiliki?
Sasa hapa na mie mmeniambukiza umbeya...... Haya dada wa US ndo ndani tena? Mwe... Mtaa huu mgumu kuishi.
Ile master ya kuandika makombe kule dubai ambayo hata uhousegirl haimpatii au kuna nyingine? Lara ujue nakuaminia kwa fact za nguvu usiniangushe ohoooFACTS
1. MANGE KIMAMBI (MBA) INTERNATIONAL BANKER, MARRIEDTO INTERNATIONAL ARCHTECTRE WHO HANDLED MULTIPLE WORL PROJECTS IN DUBAI, WORKED WITH STANBIC BANK (PART OF STANDARD BANK) BARCLAYS DUBAI, DUBAI WORD BANK, ARRIED ONCE, MOTHER OF THREE, LIVES IN LA, DRIVES A PORSCHE CYNE, RICH IN LAWS WITH A POOL AND A BIG BACK YARD, DAUGHTER IN PRIVATE SCHOOL, BUSINESS WOMAN AND SOCIALITE
2.SHAMIM (FORM FOUR LEAVER) BLOGGER, DIVORCED AND MARRIED AGAIN TO A ....... DEALER, 1 DAUGHTER, PREVIOLY WORKED WITH DAR HOT WIRE ONLINE CHAT AS MODERATOR, BUSINESS WOMAN NOW WITH 2 SHOPS, LIVES IN MAGOMENI, DRIVES A RAV 4 METALIC.
HAPOCHACHAAAAAAAA! Si mmetaka facts! Hizo hapo! Sijawa Biased kabisaaa! Kila mtu nimempa haki yake! WALE WA FACTS NAOMBA MKUJE HAPA,!
Mbaazi zikikosa maua.....?? Hata sungura baada ya kuruka sana alisema sizitaki mbichi hizi
YA SHAMIMI FORM SIX YA KUANDIKIA MAKOMBE IKO WAPI.? Nijibu kwanza hili! Hahaaaaaaa! Halooo! Na mengine ya INTERNATIONAL BANKING NA MODERATOR.? Usinichumishe dhambi mie! Porsche na kirav haloooo!Ile master ya kuandika makombe kule dubai ambayo hata uhousegirl haimpatii au kuna nyingine? Lara ujue nakuaminia kwa fact za nguvu usiniangushe ohooo
FACTS
1. MANGE KIMAMBI (MBA) INTERNATIONAL BANKER, MARRIEDTO INTERNATIONAL ARCHTECTRE WHO HANDLED MULTIPLE WORL PROJECTS IN DUBAI, WORKED WITH STANBIC BANK (PART OF STANDARD BANK) BARCLAYS DUBAI, DUBAI WORD BANK, ARRIED ONCE, MOTHER OF THREE, LIVES IN LA, DRIVES A PORSCHE CYNE, RICH IN LAWS WITH A POOL AND A BIG BACK YARD, DAUGHTER IN PRIVATE SCHOOL, BUSINESS WOMAN AND SOCIALITE
2.SHAMIM (FORM FOUR LEAVER) BLOGGER, DIVORCED AND MARRIED AGAIN TO A ....... DEALER, 1 DAUGHTER, PREVIOLY WORKED WITH DAR HOT WIRE ONLINE CHAT AS MODERATOR, BUSINESS WOMAN NOW WITH 2 SHOPS, LIVES IN MAGOMENI, DRIVES A RAV 4 METALIC.
HAPOCHACHAAAAAAAA! Si mmetaka facts! Hizo hapo! Sijawa Biased kabisaaa! Kila mtu nimempa haki yake! WALE WA FACTS NAOMBA MKUJE HAPA,!
Hahaaaa! NA ALIEMTELEKEZA MUMEWE WA NDOA AOLEWE TENA.? Inahuuuuuuu!?na kule chanika anaendaga kusali?? Km kuroga yy ndo mrogaji mkubwa. Bibi wewe usitujazie nzi hana cha kuonesha zaidi ya stroller. Mashauzi meeeeengi vifaa haba mkaage kimya tu. Tuendeleze libeneke kesho mie nalaza mbavu zangu.
Huyo Monica Muke ya Jose Mara, Moni Finance, Finance Manager wa kampuni flani hivi, jiofisi lake kama sebule! ANA PRADO 3,, Kmamake! Wanae wako GENESIS 7MILLION PER YEAR EACH! Mazafantaaaaa! Moni naomba hata nije hapo !bezi niwe mbeba pochi wako!Mbona nasikia Shamim anaishi mbezi beach n anadrive prado!?!!!!!......