Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Ivi mange anachukuaga namba za watu tigo na Airtel anaanza kuwapigia au kuwatumia message za mashauzi.siwanaenda kwenye blog yake....sasa nashindwa kuelewa kelele za nini.Sio blog ya serikali ile ni yakeeeeee.hee

hahahahaha ndo ushangae sasa, kila baada ya saa kuchungulia uturn mange kapost nn, kama anajashaua wanafuata nini huko? wivu tu unawasumbua, na wanayatamani maisha yake sana. wamuache miaka1000000000000000000000
 
Umeongea Bonge La Point....
 
hahahahaha ndo ushangae sasa, kila baada ya saa kuchungulia uturn mange kapost nn, kama anajashaua wanafuata nini huko? wivu tu unawasumbua, na wanayatamani maisha yake sana. wamuache miaka1000000000000000000000

hamna hata mtu anayechunguliaga hv blog yake ndo inaitwaje mana hata si ifahamu halafu kupewa criticism kuhusu vitu unavofanya sio wivu achen wrong assumption kna Beyonce wana maisha ya juu na kupewa mawazo tofauti sio kwamba ni jealous kutofautiana kupo
 
Kwani we huku kwenye hii post umeitwa... Nawe utuwachee miaka milioni
 
hamna hata mtu anayechunguliaga hv blog yake ndo inaitwaje mana hata si ifahamu halafu kupewa criticism kuhusu vitu unavofanya sio wivu achen wrong assumption kna Beyonce wana maisha ya juu na kupewa mawazo tofauti sio kwamba ni jealous kutofautiana kupo

Criticism Sio tatizo kabisa.but kuna tofauti kati ya chuki na criticism.
 
FACTS

1. MANGE KIMAMBI (MBA) INTERNATIONAL BANKER, MARRIEDTO INTERNATIONAL ARCHTECTRE WHO HANDLED MULTIPLE WORL PROJECTS IN DUBAI, WORKED WITH STANBIC BANK (PART OF STANDARD BANK) BARCLAYS DUBAI, DUBAI WORD BANK, ARRIED ONCE, MOTHER OF THREE, LIVES IN LA, DRIVES A PORSCHE CYNE, RICH IN LAWS WITH A POOL AND A BIG BACK YARD, DAUGHTER IN PRIVATE SCHOOL, BUSINESS WOMAN AND SOCIALITE

2.SHAMIM (FORM FOUR LEAVER) BLOGGER, DIVORCED AND MARRIED AGAIN TO A ....... DEALER, 1 DAUGHTER, PREVIOLY WORKED WITH DAR HOT WIRE ONLINE CHAT AS MODERATOR, BUSINESS WOMAN NOW WITH 2 SHOPS, LIVES IN MAGOMENI, DRIVES A RAV 4 METALIC.

HAPOCHACHAAAAAAAA! Si mmetaka facts! Hizo hapo! Sijawa Biased kabisaaa! Kila mtu nimempa haki yake! WALE WA FACTS NAOMBA MKUJE HAPA,!

Lara bado uko bias mbona haujaelezea hapo kati ya hao watoto watatu mmoja ni wa nje ya ndoa au ile kiwi ya kike unataka kutuaminisha ni ya mzungu.
 
Staki kuaminii na we Lara hua unasubiri mgao wa nguo unajishusha hadhi kwa nguo za ajabu ajabu aka vidasoo lolll acheni kufanywa misukule kama ya Lumumbaaa
Hahaahaaaaaa! Mimi ni MBA siwezi kukubali MBA mwenzangu adhalilishwe isivo halali na FORM FOUR KWENYE POWDER BUSINESS,! Ndo mfano gani kwa vijana? KINONDONI TUMECHOKA NA MATEJA,
 
waeleze hao hawajui, aonyeshe mali zake hadharani anazomiliki ili wamroge?hospitali tu alojifungulia watu roho zinawatoka sembuse mali anazomiliki?

Wote walioonyesha mali zao wamerogwa... Kama hivyo Bakhresa na Mengi wangekuwa waokota makopo...
Huyo mchambia jiwe hasiye hata na stoo huko US nani amroge.. Mashabiki mnashida kweli.
 
Watoto tusiwaingize humu Hata wa Shammy si wa mume wake aliemtelekeza? Watoto ni malaika tuwaache kama walivo hapa tudeal na MI BIG BIBI tu!

hapo umenena point kuingza watoto kwenye haya mambo sio vzuri mana hawahusiki
 
Tuwekee na ya Linda basiii
Ndo INASIKITISHA KABISAAAA,! Namstahi tu coz anaweza kuwa mama yangu mdogo, nita kuwa biased kwa kuficha mengi tu

MRS LINDA KIMA....... (FORM FOUR LEAVER), HALF CAST OF GREECE ORIGIN AND ZARAMO, DATED MAKONGORO NYERERE, HAD MANY CAREER PATH INCLUDING PROFESSIONAL DRUG TRAFFICKING FOR MANY YEARS, SUPERMARKET SELLER IN THE US, MARRIES TO 3 TIMES INCLUDING A PAKISTANIAN MAN WHERE SHE LIVED LARGER THAN EVER, NOT A ROLE MODEL MOTHER, DAUGHTER DIDNT GRADUATE FROM HIGH SCHOOL, AND SHE IS DOING NOTHIN ABOUT IT, FILED A BANKRUPTCY WPERTITION ONCE, DRESSES LIKE A 25 YRS OLD, SOCIALITE, HIGH ENTREPRENEUR POTENTIALS, OWNED A SHOP ONCE, NOW OWNS AN ONLINE SHOP, FEATURED IN WOW MAGAZINE 2014 A PROMISSING FUTURE DEAIGNER, TALKS TRAAH IN THE MEDIA ALL THE TIME FOR CHEAP PUBLICITY! LIVES IN ATLANTA, IN A BIG HOUSE, WITH SPACIOUS BACKYARD AND FRONT LAWN! Google Linda benzhout and loveness mamuya scandal, linda bedui, among her many highly publicised SCANDALS!
 
Watoto tusiwaingize humu Hata wa Shammy si wa mume wake aliemtelekeza? Watoto ni malaika tuwaache kama walivo hapa tudeal na MI BIG BIBI tu!

Hapo juu si umemtaja ooh sijui kaachikaa ooh sijui nini sasa huyo aliyeolewa na kuzaa akaachika na huyo aliye uzauza pussy akazaa kabla ya ndo mbona hujaelezea vizuri hapo kwenye cv yake.. Tufafanulie vizuri basi maana wengine tutajua hao wote wa3 wa mzungu
 
Wote walioonyesha mali zao wamerogwa... Kama hivyo Bakhresa na Mengi wangekuwa waokota makopo...
Huyo mchambia jiwe hasiye hata na stoo huko US nani amroge.. Mashabiki mnashida kweli.

wewe ndo una shida unaeshupalia mali za watu badala ya kutafuata zako, umuwache ile ni blog yake anafanya atakacho ata akionyesha anakunya ni yeye, kauli mbiu ya ile blog mashauzi ndo mahala pake, we kinakuuma nn? hutaki mashauzi unafata nn kule? kweeeeeeeenda luleeeeeeeeeeee.
 
Criticism Sio tatizo kabisa.but kuna tofauti kati ya chuki na criticism.

mbona mi naona hamna chuki kila mtu na mtazamo wake tatizo la wadada wengi kuwa na vitu vya kawaida kukosolewa ni chuki au wivu hapa tuangalie facts na uhalisia wa mambo bana
 
Hahaahaaaaaa! Mimi ni MBA siwezi kukubali MBA mwenzangu adhalilishwe isivo halali na FORM FOUR KWENYE POWDER BUSINESS,! Ndo mfano gani kwa vijana? KINONDONI TUMECHOKA NA MATEJA,

Hiyo MBA ungekuwa unaithamini huyo hasimu wake Sintah mbona anayo basi naye si umtetee... Hata ikiwa ya TEKU bado ni MBA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom