Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote walioonyesha mali zao wamerogwa... Kama hivyo Bakhresa na Mengi wangekuwa waokota makopo...
Huyo mchambia jiwe hasiye hata na stoo huko US nani amroge.. Mashabiki mnashida kweli.
Hiyo MBA ungekuwa unaithamini huyo hasimu wake Sintah mbona anayo basi naye si umtetee... Hata ikiwa ya TEKU bado ni MBA.
wewe ndo una shida unaeshupalia mali za watu badala ya kutafuata zako, umuwache ile ni blog yake anafanya atakacho ata akionyesha anakunya ni yeye, kauli mbiu ya ile blog mashauzi ndo mahala pake, we kinakuuma nn? hutaki mashauzi unafata nn kule? kweeeeeeeenda luleeeeeeeeeeee.
huu mtanange nzuna upo upande gani?
mi nishadeclare interest zangu zamaani
Hahaaa! Coz umeyataka ngoja nikupe mie! KAACHIKA AU KAMKIMBIA BWANANKISA LOFA. ? Kaiacha NDOA kufata hela! Haloooooooo!Hapo juu si umemtaja ooh sijui kaachikaa ooh sijui nini sasa huyo aliyeolewa na kuzaa akaachika na huyo aliye uzauza pussy akazaa kabla ya ndo mbona hujaelezea vizuri hapo kwenye cv yake.. Tufafanulie vizuri basi maana wengine tutajua hao wote wa3 wa mzungu
mbona mi naona hamna chuki kila mtu na mtazamo wake tatizo la wadada wengi kuwa na vitu vya kawaida kukosolewa ni chuki au wivu hapa tuangalie facts na uhalisia wa mambo bana[/QUOT
Kweli kila mtu na mtazomo wake.iwe Mange..sintah..wema etc uwez ukawa unamkosoa mtu unaingiza adi sijui miguu imefanyaje..Mara kaishia la pili.Mtoto kama kiwi..
Jamani lara1 unamwonea Shamimu si alisoma pale CBE jamani?YA SHAMIMI FORM SIX YA KUANDIKIA MAKOMBE IKO WAPI.? Nijibu kwanza hili! Hahaaaaaaa! Halooo! Na mengine ya INTERNATIONAL BANKING NA MODERATOR.? Usinichumishe dhambi mie! Porsche na kirav haloooo!
mbona mi naona hamna chuki kila mtu na mtazamo wake tatizo la wadada wengi kuwa na vitu vya kawaida kukosolewa ni chuki au wivu hapa tuangalie facts na uhalisia wa mambo bana[/QUOT
Kweli kila mtu na mtazomo wake.iwe Mange..sintah..wema etc uwez ukawa unamkosoa mtu unaingiza adi sijui miguu imefanyaje..Mara kaishia la pili.Mtoto kama kiwi..
ila umesema kweli kuanza kukosoana maumbile hakufai mara watoto mara mie na phd hvo vinakuwa vyako haviusu bana hapo ndio wanapokeseaga mtu akifanya kitu kizuri una uppreciate ila kibongo sasa
Hahaaaaa! YA SINTAH YA MDOMO TU, HANAAAA! MI CV YAKE NINAYO SEMA NI PROPERTY YA QUALITY GROUP NITASHTAKIWA BUREEE, ALIKUWAGA SECRETARY WA MANJI IPO KWA HR NA VYETI VYAKE! Ndo maana hajawahi weka picha za graduation maisha yake hata ya 1st degree, au kuonesha tu kacheti! MANGE ALIWEKA MPAKA MATOKEA KITU CHA UPPER SECOND, LIST YA GRADUATES WA CHUO CHAO MWAKA HUO, PICHA ZA GRADUATION, HAINA UTATA KABISAAA!
Sikuona pivha za GRADUATION, nikahisi DISCONTINUE, hapa haonewi myu haya tumpe nini Shammy DIPLOMA, CERTIFICATE, ADVANCED DIPLOMA.? Unauhakika lakini aligraduate maana kuanza sio kumaliza?Jamani lara1 unamwonea Shamimu si alisoma pale CBE jamani?
Ndo alivyokudanganya??? Safari hii akirudi kurenew lazima tumpige pic akiwa kwa babuhujui kama chanika ana mashamba yake? ulikua nae alipoenda kuroga? we nenda c utatukuta tumejaa tele.
Hamjasema mna hela nyie SI NYIE NDO TIMU HAMCHOVI.??? NO FAKE ZONE,! Mnavaa tanzanite, saphire na ehuby?. We treni umeidandia kwa mbele hujajua chanzo kizima! Google TEAM HATUCHOVYI,!
Lazima tupige kelele WATU STROLLER MADE IN CHINA KILA SIKU MNAEUSHA INSTA,! Afu mnajifanya ya mwenzenu aliojikamua mwanae apate luxury sio ishu sanaaa! Nyooookolosti! BIMA MNAYOOOOO.? Au mnaongea tu mradi kuosha vinywa! Karatasi zenyewe za kuunga unga huko kwa watu itakuwa bima?
Mr. SEMBE KAJALA ANAMCHUNA SANAA JAMANI HE IS A DISGRACE TO SEMBE DEALERS,! Ndo nini kile? HAO LIMEWASHIKA SHUUUUU,!
We ndo hukuziona lara1. Tumpe tu haki yake hicho hicho alichosomea angalau sio form six leaver....... HahahahahahahaSikuona pivha za GRADUATION, nikahisi DISCONTINUE, hapa haonewi myu haya tumpe nini Shammy DIPLOMA, CERTIFICATE, ADVANCED DIPLOMA.? Unauhakika lakini aligraduate maana kuanza sio kumaliza?
Hapa ni TRUTH OR TRUTH! All the cards on the table!Fans Vs Haters....Au?
We ndo umeziona peke yako! But it doesnt mean sio kweli, haya namuongezea CBE, sijajua bado ngazi gani. Mnyonge namnyonga kweli ila haki yake nampa!We ndo hukuziona lara1. Tumpe tu haki yake hicho hicho alichosomea angalau sio form six leaver....... Hahahahahahaha
fact ipi? Kumbe kuwa na gari tena ya mkopo (liability) tayari mtu anawekwa kwa matajiri? Hata pango lake binafsi hana anaitwa tajiri? Kama kwa akili zako hizo ndio fact naomba nikuachie uwanja kwani vigezo vyako vya kupima utajiri viko so traditional. Na kwa maana hiyo tutaishia kuzunguka hapo hapo. Kama elimu hicho ni kianzio tu (japo yake ya makombe) ...okay what next???Hahaaaaaaa! Wametaka fact nimewapa FACT naona walikuwa hawazijui wanadandiaga treni mbele! AIBU YAO WENYEWEEEEEE,! Chezea ,MBA International banker!?