Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
tatizo la wabongo wanaweka ushabiki usio na mantiki kwenye vitu vya kawaida sana cjui ni ulimbukeni mtu kama tajiri aonyeshe chanzo cha mapato yake kodi anayolipa na aingizwe kwenye list ya matajiri ajulikane kutumia nguvu kujionyesha unacho badala ulivo navo vionekane

kwa hiyo we kinakuuma nn? mange kujulikana tajiri au?
 
ata kugawa chupi za vitenge kwa watu ni utajiri tosha, sema ni mbongo gani aliyeko majuu anagawia funs wake vyupi bure?

celebrity gani mbongo wa nje ana na fans, macelebrity wenye fans wako hapahapa bongo huyo muuza vitenge awe na mafans kwani ye ni star wa lipi muigizaji? Model au mwanamuziki? Tofautisha kati ya biashara na ustar na kati ya mashabiki na wateja.. Yani nyie wanunua vitenge ndo mmekuwa mashabiki wake kweli hamjielewi mwenzenu anatafuta umaarufu ili auze vitenge vyake nyie kaeni kumshupalia ana mali ana nini azidi kuwapa vyupi mumtafutie wateja.
 
tatizo la wabongo wanaweka ushabiki usio na mantiki kwenye vitu vya kawaida sana cjui ni ulimbukeni mtu kama tajiri aonyeshe chanzo cha mapato yake kodi anayolipa na aingizwe kwenye list ya matajiri ajulikane kutumia nguvu kujionyesha unacho badala ulivo navo vionekane

Nashangaa mtu anashupalia utajiri na biashara utajiri hata ujaqualify kulipa VAT bado anajiita mfanya biashara mkubwa... Kweli ukosefu wa elimu anawachota wengi aisee
 
Sintah SI ALIOMBA KAZI QUALITY GROUP AKAPELEKA CV YAKE KWA MKONO WAKE MWENYEWE BILA KUSHURUTISHWA NA MTU YEYOTE INAELEZEA ELIMU, EXPERIENCE, KILA KITU, AKAWEKA NA VYETI VYAKE.?? Sasa ushabiki gani jamani wakati mwenyewe alijiandikia UKWELI wa elimu yake akadhibitisha na vyetinvyake? Mbona mwanichimba nimseme binti Manoge wakati hahusiki hapa! MASTERS HAIKUWEMO PALE! Yaliyokuwamo siri yangu! KUNA SNITCH MMOJA NDO AKAISAMBAZA NA MIMI SNITCH THE SECOND NIKAIPATA,!

Na hio list grafuates sio ya Mange ni ya WUDONG UNIVERSITYnunaweza tu ku google WODONG GRADUATES 20100 SIJUI 11 ile inakuja kiganjani kwako!

SINA USHABIKI WOWOTE!

Sasa kama ukweli umesema si utuwekee basi ushahidi wa hiyo cv alivyoenda kuombea kazi huko... Kwani CV ni siri? Snitch wa kweli alete evidence ya hiyo tuamini ila kumsema mwingine bila evidence ni kama kuwa bias na upande mmoja. Na inaonyesha ni ushabiki tu usio na tija.
 
Nashangaa mtu anashupalia utajiri na biashara utajiri hata ujaqualify kulipa VAT bado anajiita mfanya biashara mkubwa... Kweli ukosefu wa elimu anawachota wengi aisee

Nahis uwepo wa kimambi humu.

Matajiri na watu wenye nazo sidhan kama wanatumiaga nguvu za ziada kujionyesha kuwa wanazo

Watu wenye ulimbukeni wa maisha na wenye kuishi maisha ya kubahatisha ndo wanaishi kama mange

Mange anajiona yeye ndo mtanzania wa kwanza kuolewa na mzungu, anajiona mzuri yeye yani kila kitu yeye wakat sio ukweli.

Kuna wa TZ kibao wanaish ughaibuni tena maisha ya kifahari kuzidi hata ya huyo kimambi na baadhi ya raia wenye nchi zao , mange ana ulimbukeni wa maisha , na wala hajiamini ndo maana anahangaika kutafuta sifa na umaarufu wa kijinga.
 
kwa hiyo we kinakuuma nn? mange kujulikana tajiri au?

we ndo kinakuuma sifa za kijinga huyo hawezi kuniumiza chochote mana na maisha yangu kinachonishangaza ni nyie kumtafutia ucelebrity kwa nguvu kwangu wa kawaida hv unajua tajiri au unaropoka i wonder change your mentality cwez kuumwizwa na yoyote njoo na evidence basi za kuonyesha utajiri wake i need strong evidence sio kubwabwaja hapa action speaks louder than words
 
Kitendo cha maada kuhusu mtu mwingne then watu wanaanza kumdiscus Mange na Mange mwenye hawafuati muingie katk blog yake,mnamfuata wenyewe af mnanza kukerwa na mashauzi yake,ye hatafut kiki ila nyie ndo mnampa kiki..naona thread kama mbili ivi ni za mtu mwngne lakini wenyewe mnamleta Mange kati hyo n evidence tosha kua kuna kitu kinawauma,kama hampend mambo yake mpotezeeni fanyeni yenu muachen na mashauzi yake..
 
Sidhani kama utajiri wake unakuhusu u should be busy thinking about improving your life rather than kukaa na kuwaza utajiri wa mange, just ushauri tu
 
Sasa kama ukweli umesema si utuwekee basi ushahidi wa hiyo cv alivyoenda kuombea kazi huko... Kwani CV ni siri? Snitch wa kweli alete evidence ya hiyo tuamini ila kumsema mwingine bila evidence ni kama kuwa bias na upande mmoja. Na inaonyesha ni ushabiki tu usio na tija.

Hahahaaaaa! KWA UMBEA WEWE! SIO SIRI ANGE UPLOAD ONLINE! KAIADRESS MAHALI FLANI SO NI CONFIDENCIAL REPORT!

Msitake ma SNITCH tupatwe na kash kash
 
Hahahaaaaa! KWA UMBEA WEWE! SIO SIRI ANGE UPLOAD ONLINE! KAIADRESS MAHALI FLANI SO NI CONFIDENCIAL REPORT!

Msitake ma SNITCH tupatwe na kash kash

Hahaha sasa huoni huo ndo utakuwa mtaji mkubwa kwa snitch mkipata hiyo cv lol!
 
Kitendo cha maada kuhusu mtu mwingne then watu wanaanza kumdiscus Mange na Mange mwenye hawafuati muingie katk blog yake,mnamfuata wenyewe af mnanza kukerwa na mashauzi yake,ye hatafut kiki ila nyie ndo mnampa kiki..naona thread kama mbili ivi ni za mtu mwngne lakini wenyewe mnamleta Mange kati hyo n evidence tosha kua kuna kitu kinawauma,kama hampend mambo yake mpotezeeni fanyeni yenu muachen na mashauzi yake..

Na kusingekuwa na umuhimu wakuweka hii forum humu kama yeye anawadiscuss wenzake huko kwenye blog yake si tuna mdiscuss humu.. Kama yeye hana muda kwa kuingia humu na sisi hatuna muda wa kuingia kwenye blog yake atleast ingekuwa website asingeandika upuuzi wake angeitumia kibiashara ila kwa vile blog bure aandike na kudiscuss wenzake huko na sisi tunaandika na kumdiscuss huku... Hatulipii na wala hatulipiwi bundle same kwake anaandika anachojiskia na sisi twadiscuss tunavyojiskia..
Kama kumdiscuss yeye ndo kigezo kuwa tuna wivu nae basi nayeye anavyo wasema akina sinta anawivu nao. Thats all
 
FACTS

1. MANGE KIMAMBI (MBA) INTERNATIONAL BANKER, MARRIEDTO INTERNATIONAL ARCHTECTRE WHO HANDLED MULTIPLE WORL PROJECTS IN DUBAI, WORKED WITH STANBIC BANK (PART OF STANDARD BANK) BARCLAYS DUBAI, DUBAI WORD BANK, ARRIED ONCE, MOTHER OF THREE, LIVES IN LA, DRIVES A PORSCHE CYNE, RICH IN LAWS WITH A POOL AND A BIG BACK YARD, DAUGHTER IN PRIVATE SCHOOL, BUSINESS WOMAN AND SOCIALITE

2.SHAMIM (FORM FOUR LEAVER) BLOGGER, DIVORCED AND MARRIED AGAIN TO A ....... DEALER, 1 DAUGHTER, PREVIOLY WORKED WITH DAR HOT WIRE ONLINE CHAT AS MODERATOR, BUSINESS WOMAN NOW WITH 2 SHOPS, LIVES IN MAGOMENI, DRIVES A RAV 4 METALIC.

HAPOCHACHAAAAAAAA! Si mmetaka facts! Hizo hapo! Sijawa Biased kabisaaa! Kila mtu nimempa haki yake! WALE WA FACTS NAOMBA MKUJE HAPA,!

Those are not FACTS umedanganya umma...........

Shamim kasoma CBE ana DIPLOMA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom