Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
YA SHAMIMI FORM SIX YA KUANDIKIA MAKOMBE IKO WAPI.? Nijibu kwanza hili! Hahaaaaaaa! Halooo! Na mengine ya INTERNATIONAL BANKING NA MODERATOR.? Usinichumishe dhambi mie! Porsche na kirav haloooo!

Bado niko na wewe kwa SHAMIM

u keep on telling lies
 
waeleze hao hawajui, aonyeshe mali zake hadharani anazomiliki ili wamroge?hospitali tu alojifungulia watu roho zinawatoka sembuse mali anazomiliki?

hivi zile anazooneshaga si ndio mali zenyewe au we ulitaka aoneshe nini tena..............
 
Hivi kibongo bongo ukienda Agha Khan, Hindu Mandal n.k unapesa eeh wakati kuna watu ni ma office Messenger tu ila ofisi yao inabima za AAR au Jubilee mf na hao hata wakienda kutibiwa Agha Kan wataonekana wanazo na kuwaponda watumishi wa Umma wanaotibiwa na NHIF Mwananyamala lol!

G d sheba agiza moja moja kwa mangi kama haupati maji ya dhahabu agiza bakheresa wazibue ,masikio hawajui
 
huyo zeru zeru wake anamsitir kidgo anaonekana na yeye mbwa atleast anabweka bweka kidog mjini.

Hahhhhahhha huu mtaa umenogaaa ngoja nimalizie inshu flan hapa niingieee nami ninogeshee ngomaaa aisee wapiii ICHANAa hebu njoo hapaa
 
Last edited by a moderator:
Yaani unapoteza muda kukaa kusifia mtu huko dubei huyo mange wako hata kujulikana alikuwa hajulikani tuulize tunaoishi huko kuna watu wanalife mpaka unachemka kwanza alikuwa anakaa kwenye apartment vila alikuwa anaziona akipita fanya yako
 
Hahhhhahhha huu mtaa umenogaaa ngoja nimalizie inshu flan hapa niingieee nami ninogeshee ngomaaa aisee wapiii ICHANAa hebu njoo hapaa

Alikuwa mbwa koko , naona sasa ivi kawa mbwa , basi anabweka hatar hatupumui
 
Last edited by a moderator:
Wewe kukomaa kumeingiliana nini na kumsaidia yani unaonyesha jinsi upeo wako ulivyo mdogo
 
G d sheba agiza moja moja kwa mangi kama haupati maji ya dhahabu agiza bakheresa wazibue ,masikio hawajui

Hahaaa Ukweli wanaujua ila ndo hivyo no way out watafanyaje ndo wameshakubali kumbebea mabegi ingawa wanajua kabisa bidada ndivyo sivyo yule we mtu gani kila rafiki kagombana nae bado kugombana tu na huyo mumewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom