lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
Haiwezi kuwa over jamani tupe facts za ukweli jamani au umeng'ang'ana anakopesheka lol hata akiba na acess bank wanakopesha so hata sinta alikopa akakopesheka hata milioni moja ila nayo ni mkopo.
Na issue na kupotea na kurudi sio sababu kumuogopa mtu fulani sema tu mtu unatingwa na issue nyingine ukipata muda inachungulia... Wengine humu ni housewifes wacha tuandaeandae ingaws umbea tunautaka lol!
Hahaaaaaaa! Mwenzio INTERNATIONAL BANKER, MUME RAIA USA, we baki hivo hivo!