Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Baby Shower ya Shamim Zeze aka Mrs Chonchi

Status
Not open for further replies.
Kitu hicho! WAPIIIII MAMA NA KATI YA CBE.? Ngoja nikaibe na Devota Diva baby shower tuone baby shower za maana mjini humu! HALOOOOOOOO,! YA PICHA NA MNATO,!

Hiyo pic ya kwanza huo mguu au mkonoo!!!!
Halaf siku hiz wanaomaliza hotel management hugraduate na nguo hizo hakuna kipyaa hapoooo
Hiyo ndio gari yakee eee hahhhhahhhhha
 
hahahahahaha sijampata ceo wake huyu huyu wa LA maaana lara naye kwa kujikomba hajambo yupo kwa wote lol mradi uwe na mkwanja tu
Tuheshimiane niko kwa Mange tu! Na nimenza kujikomba kwa Moni Finance BAAAAAAAAAAAASSS,! Na diva sababu ni mkongwe na kiruaha rusha kibaby showwr chake kishkaji!
 
Yaani we acha tu! Sie ambao tushaishi Marekani kwa miaka 20 tunaona hayo mengine kama ushamba tu.

Mayo Clinic wanaendaga marais na wafalme huko. Johns Hopkins ndo hospitali nambari moja Marekani na nadhani hata duniani.

But still, kuzalia kwenye hospitali aliyozalia mtu maarufu wala si ishu kabisa kwa Marekani. I mean, what's the big deal?

Watu wanaenda kutibiwa ma-STD hapo Cedars-Sinai sasa leo mbongo kwenda kuzalia hapo ndo iwe nongwa?

Mbona wapo wabongo wengine waliokwisha zalia hapo na wala haikuwa big deal....

Watu wanavyoshoboka utadhani hiyo hospitali ni exclusive mno kumbe wala siyo hivyo.

Ni sawa na mimi nianze ku-plug eti ile Quiktrip ya pale Dunwoody Place & Roberts Drive ni bab kubwa kisa tu Diddy na Akon nao huwa wanajaza mafuta kwenye Lamborghini zao hapo maana nami ndo gas station yangu hiyo.

It's not a big deal to give birth at Cedars-Sinai. It's not a status symbol. But I get it as to why some people think it is such a big deal.....I get it.
Ila jamani Mange hakujikweza aliandika tu amejifungua saa ngapi katika hospital hiyo akaweka na picha watu ambao wamekuza maneno ni sisi wachangiaji
 
Hiyo pic ya kwanza huo mguu au mkonoo!!!!
Halaf siku hiz wanaomaliza hotel management hugraduate na nguo hizo hakuna kipyaa hapoooo
MSUMARI HUOOOOOO,! UMEWACHOMA MACHONI MOYONIIIIIIII.? KOTE KOTEEEEEEEEE,! Haloooooooooo! Ina huuuuuuuuuuu? Naona DHAMBI KUFATA PICHA ZA CBE GRADUATION ZIMEJAA ONLINE,! Zambi zitanimaliza mie! HHAHAAAAAAA,!
 
Kubabake hakufanya baby shoewer ili mumpe FAKE ZONE UCHAFU UCHAFU WENU! Thubutuuuuuu! Amefanya matusi shamim anapanga folleni miaka 8000000!

Kuzalia SINAI CEDARS MCHEZO. ? Walipozalia Kim K, Queen Bey et al!ntena deluxe room! Maza fantaaaaaa! Akavuta na stroller ya $1500 watu KIMYAAAAAAAAA,!

Mama mzungu japo anajikamua ila za uso anatoa vibaya mno!

Mmh bado mpaka Leo unaamini kazalia SINAI CEDARS?
 
Utafanya watu wafeeeeee miaka 10000000000000090 like likeeee mwagaa dataa tupe na vyuo vya maana sieee maana tunaletewa master za madrasa hapaaa kiriuuu

Halafu wewe bana....ngoja The Boss aje aone ulivyofurahi leo!

But seriously, kuzalia Cedars-Sinai siyo big deal kabisa hata kama iwe uli-rent private suite yako. Na kama wengine tungependa kujionyesha kwenye hii mitandao mbona ingekuwa balaa!

Hiyo ya vyuo ambavyo hata havitamkiki mdomoni na visivyokuwa na accreditation ngoja niiweke kiporo kwanza, maana nshachafua hali ya hewa leo. Labda kesho:smile-big:
 
Ila jamani Mange hakujikweza aliandika tu amejifungua saa ngapi katika hospital hiyo akaweka na picha watu ambao wamekuza maneno ni sisi wachangiaji

Hahhhahhha ladykim leo upo mpole unaumwaa changiaa tu haina shidaaa,leo hapa hapaaa haendi mtuu choonii
 
Last edited by a moderator:
DIVA BABY SHOWER COMMING SOON! 2 Minutes! Unlimited bundle itakoma!
 
Miss Neddy karibu mjini ya Mjini ni mengi chungulia kwanza GRADUATION HAPO! Usuuze macho, lile lilirushwagizani hata tochi haikusaidii kumulika?

hahahaha wanikukaribisha mjini mie wa dar originale
nimeona mapicha hapo mange yuko juu kimtindo katokelezea hahaha
 
Tuheshimiane niko kwa Mange tu! Na nimenza kujikomba kwa Moni Finance BAAAAAAAAAAAASSS,! Na diva sababu ni mkongwe na kiruaha rusha kibaby showwr chake kishkaji!

Weee acha hizoooo unajikombaaa hahhhahhha hahhha kazana utakatiwaa viza ukatembeee
 
Hivi kibongo bongo ukienda Agha Khan, Hindu Mandal n.k unapesa eeh wakati kuna watu ni ma office Messenger tu ila ofisi yao inabima za AAR au Jubilee mf na hao hata wakienda kutibiwa Agha Kan wataonekana wanazo na kuwaponda watumishi wa Umma wanaotibiwa na NHIF Mwananyamala lol!

Brilliant thinking madam
I salute u
 
Miss Neddy karibu mjini ya Mjini ni mengi chungulia kwanza GRADUATION HAPO! Usuuze macho, lile lilirushwagizani hata tochi haikusaidii kumulika?

Turushie na jumbaa lake ntakuaminiiaaajeeeee
 
kimbunga kesho lazima kiwepo manake kwa kazi aliyofanya nahodha leo pepo za kaskazi lazima ziongezeke mara 100 kuhakikisha jahazi linabinuka

ha ha ha ha kitakuwepo ila hakina madhara mana namwaminia nahodha hakibinuki kitu si unajua huku ni ma great thinker tuna dare talk openly
 
Si kaandika aina, model na edition, pamoja na nchi ilipotegenezwa na picha juu ya ushahidi ALL WE HAD TO DO IS GOOGLE,! Siku hizi dunia iko kiganjani. Hata kama alijibana miezi 4 alinunua lakini! Lol!

Kama aliona details kwa Rafiki yake je?guys mnamjua limbukeni kimambi au mnamsikia.?
 
Turushie na jumbaa lake ntakuaminiiaaajeeeee
Rusha kwanza la JUMBA LA DRUG LORD,! QUEEN SHAMMY HERSELF LINIPE UAINGIZI MIE,! Halooooooo! Mi nitarusha LA KAJALA MASANJA,! HAhahaaaaaaa!
 
Ila jamani Mange hakujikweza aliandika tu amejifungua saa ngapi katika hospital hiyo akaweka na picha watu ambao wamekuza maneno ni sisi wachangiaji

Alaaa kumbe ni hivyo! Kama ni hivyo basi ushamba nao ni janga la kitaifa!
 
IF YOU GOT IT FLAUNT IT, ! Kama mnaweza nendeni na nyie SINAI mjibu mapigo. Iga ufe pale! Kasoro Mwamy tu ndo anamuwezea kumjibu.

Waende Sinai sababu ya kimambi au waense sababu wanataka kwenda?
Ulimbukeni huu
 
Halafu wewe bana....ngoja The Boss aje aone ulivyofurahi leo!

But seriously, kuzalia Cedars-Sinai siyo big deal kabisa hata kama iwe uli-rent private suite yako. Na kama wengine tungependa kujionyesha kwenye hii mitandao mbona ingekuwa balaa!

Hiyo ya vyuo ambavyo hata havitamkiki mdomoni na visivyokuwa na accreditation ngoja niiweke kiporo kwanza, maana nshachafua hali ya hewa leo. Labda kesho:smile-big:

Hahhhahha unamuitaaa eee mme wangu yupoo banaa huyo bossman anapenda tu kunichokozaa mi nimefurah naomba uniweke hivyoo vyuo mieee yaan ukiniwekeaa tu hapaa sikoment namuachiaa huyo anakukwepaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom