Baby soma huu Uzi

Baby soma huu Uzi

Ili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuu
Na ukinikumbatia moyo unadunda
puuh

Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Oooh unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu



Kazi njema baby 💕💕💕🥰

Penzi la mwanzoni huwa linakuwa hivyo subiri ukianza kuzoeana ndiyo utajua mapenzi ni ujinga.
 
Ukimaliza tuwekee na ule wa
Akinipenda mama inatosha na ule wa
bia tamu
 
Yan kipind kile ulikuwa unatangaza rafik yako anatafuta mtu jumbe haikuwa kwel ila wewe ndo ulikuwa unajikusudia
 
Back
Top Bottom