Baby soma huu Uzi

Baby soma huu Uzi

Ili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuu
Na ukinikumbatia moyo unadunda
puuh

Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Oooh unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu



Kazi njema baby 💕💕💕🥰

Kumekucha 😀
 
Kuna saa love inakua strong mpaka unatamani

Dunia isimame usimulie kwanza [emoji28][emoji28]
 
Ili penzi la ukweli baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka wuuu
Na ukinikumbatia moyo unadunda
puuh

Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Oooh unadunda puuh, puuh puuh puuuu
Aaah unadunda puuh, puuh puuh puuuu



Kazi njema baby [emoji177][emoji177][emoji177][emoji3059]


IMG_0770.jpg
 
Back
Top Bottom