Bado hujasemaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wajomba nao wana akili chafu kama za kwako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila niliponea chupu chupu kwa yule mjomba wanamuita mis nani sijui qmmk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba kumpeleka mkwe wako hospital si kazi, bali jambo linalofanywa ukiwa na mda!. Ok, isipokuwa na muda nani akufanyie? au kwako wanaumwa unapokuwa na muda? Kwamba kumpeleka Mgonjwa hospitali ni unaweza kufanya ukitaka au ukaacha si ndiyo...mpaka hapo umeonesha ulivyo amateur kwenye issue za familia. Huna familia unayo iendesha wewe.Kazi ni shughuli ya kudumu uliyoamua kuifanya kuendesha maisha yako...... wazungu wanaita CAREER
Kumpeleke mkwe wako hospitali sio kazi(career) ni jambo unalofanya ukiwa na nafasi tu
Sipati picha jinsi ambavyo ningekuwa na kibarua kuhudumia familia plus extended family all alone kama wife angekuwa na βcareerβ ya ku manage family
Mke wangu anakipato kikubwa kazi kwake kuliko mimi
Nishamaliza hapo...Bado hujasemaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thubutuuuu!!! Umtoe wapiii?Nishamaliza hapo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo kwa ant hapa... Na kitaulo
Unataka uniharibie sio... ππππThubutuuuu!!! Umtoe wapiii?
Wee wizooo BICHWA KOMWE - eti huyu kiben10 yuko kwako?
Mkuu hichi ulicho andika hapa kinahakisi madai ya Marehemu Mh Samweli Sita Waziri wa East Africa alipokua anajibu kwanini wawekezaji wakigeni wengi kwenye sekta ya utalii Tz na sekta zingine wameajiri Wakenya na Waganda zaidi na hawapendi kuajiri WatzKwamba kumpeleka mkwe wako hospital si kazi, bali jambo linalofanywa ukiwa na mda!. Ok, isipokuwa na muda nani akufanyie? au kwako wanaumwa unapokuwa na muda? Kwamba kumpeleka Mgonjwa hospitali ni unaweza kufanya ukitaka au ukaacha si ndiyo...mpaka hapo umeonesha ulivyo amateur kwenye issue za familia. Huna familia unayo iendesha wewe.
sasa mwili wako unataka akuoambanie mwingine? kah! yaani hata vaa yako unataka akichangia mbona hiyo hatari sana, mbona kuna wengine wanaliwa kwa kusifiwa tu inatosha, tunajua mnapenda kusifiwa hivyo tunajitahidi tuwape sifa iwezekanavyoUnakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*
Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa
Kona ya Bwiru
Ni kweli tunaishi kwa kutegemeana , sasa wewe ungependa mwanaume akugharamie kama unavosema hayo mavazi je wewe utamgharamia nn???? kwa muktadha wa kutegemeana ulousemaTunaishi kwa kutegemeana
Mmmh aiseee.....naomba nijue hayo majukumu ni kwamba ukiwa mke au demu tu wa kupoozea siku moja moja afu baada ya hapo kila mtu anajikataa afu unaenda kwa wana wengine nao wapoozeeUsikwepe majukumu yako kwa visingizio
Alikuja nikamfukuza ππππWee wizooo BICHWA KOMWE - eti huyu kiben10 yuko kwako?
Ku manage familia ni Kazi kama Kazi zingine. PeriodMkuu hichi ulicho andika hapa kinahakisi madai ya Marehemu Mh Samweli Sita Waziri wa East Africa alipokua anajibu kwanini wawekezaji wakigeni wengi kwenye sekta ya utalii Tz na sekta zingine wameajiri Wakenya na Waganda zaidi na hawapendi kuajiri Watz
Na huu mfumo wetu wa kulipwa mshahara kwa mwezi hata kama umekwenda kazini siku mbili tu ndio unatujengea hizi tabia kwa watumishi
Siku hizi kuna ofisi unalipwa kulingana na masaa/siku uliofanya...........sasa wewe kamuuguze mkweo mwezi mzima mnakimbizana korido za hospitali ndio utajua kama kumpeleka mkweo ni career au spending
Mkuu kamuuguza mtu kwanza kabisa kunataka Hela
Ukikomaa vizuri na Career yako ukawa na hela haya mambo ya kumpeleka mgonjwa hoapitali ni mambo madogo mmno
IdiotUnakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*
Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa
Kona ya Bwiru
Kwani we dada unataka upewe kila kitu kwani wewe ni Mlemavu?Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.
HahahaMuuza nyapu lipia tangazo