Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
- Thread starter
-
- #61
MREJESHO:
Asanteni wadau mlionisaidia utadhani tunafahamiana. Specifically Mad Max na Extrovert. Nimefuata ushauri wenu, Mungu awabariki.
Pia natoa shukrani kwa wadau mlioleta comment za dharau na majivuno. Specifically Heci, Jimbi na gwankaja.
Okey, leo nilienda kwa fundi.
Nikamueleza matatizo ya gari yangu. Nikamueleza na 'preliminary inspections' mlizotoa hapa.
Tukachek ATF na Engine Oil ziko fresh.
Basi wakapima na mashine kwenye ECU tatizo likaonekana ni 'switch' moja ya kwenye gearbox imekufa. Tukabadili.
Switch yenyewe hii hapa. Tumeulizia gerezan inauzwa 70,000. Sema fundi Kuna gari nyingine imetelekezwa na tajiri, kwahiyo tukaichomoa kule tukaweka kwangu nikalipia 40,000.
Lakin pia fundi akashauri ni bora tubadilishe Fluids zote (Oil na ATF) maana mfano OIL ilikua nyepesi sana.
Basi tumenunua ATF Type IV ile ya Toyota inauzwa 80,000.
Naam. Engine Oil (pamoja na Filter) tumenunua 55,000. Picha ya dumu lake siioni hapa.
Pia fundi alifanya kuzinyoosha na kusafisha zile Oil Sample zote mbili (engine na gearbox) kuna mahali nilipiga jiwe zikawa zimebonyea.
Kwa kifupi imenitoka 230,000 qmamake kwa mchanganuo huu:
Kupima ECU kwa mashine: 20,000
Switch ya Gearbox: 40,000
ATF Type IV Toyota: 80,000
Engine Oil + Filter: 55,000
Rubber Butt: 15,000
Ufundi: 20,000
Kesho Jpili nilikua nataka nimfanyie surprise Girlfriend wangu yule wa Bunju. Nilitaka nimpeleke Bagamoyo tukale zetu 'Bata' kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Nime cancel hiyo ratiba, bajeti nimeitumia kwenye marekebisho ya gari yangu. Sema ikifika saa sita usiku namtumia message ya "Happy Birthday my potential wife" imetoka hiyo.