'Baby walker' yangu inataka kunipasua kichwa!

MREJESHO:

Asanteni wadau mlionisaidia utadhani tunafahamiana. Specifically Mad Max na Extrovert. Nimefuata ushauri wenu, Mungu awabariki.

Pia natoa shukrani kwa wadau mlioleta comment za dharau na majivuno. Specifically Heci, Jimbi na gwankaja.

Okey, leo nilienda kwa fundi.
Nikamueleza matatizo ya gari yangu. Nikamueleza na 'preliminary inspections' mlizotoa hapa.

Tukachek ATF na Engine Oil ziko fresh.
Basi wakapima na mashine kwenye ECU tatizo likaonekana ni 'switch' moja ya kwenye gearbox imekufa. Tukabadili.

Switch yenyewe hii hapa. Tumeulizia gerezan inauzwa 70,000. Sema fundi Kuna gari nyingine imetelekezwa na tajiri, kwahiyo tukaichomoa kule tukaweka kwangu nikalipia 40,000.
IMG_20210227_175547_244.jpg

Lakin pia fundi akashauri ni bora tubadilishe Fluids zote (Oil na ATF) maana mfano OIL ilikua nyepesi sana.

Basi tumenunua ATF Type IV ile ya Toyota inauzwa 80,000.
IMG_20210227_130237_368.jpg

Naam. Engine Oil (pamoja na Filter) tumenunua 55,000. Picha ya dumu lake siioni hapa.

Pia fundi alifanya kuzinyoosha na kusafisha zile Oil Sample zote mbili (engine na gearbox) kuna mahali nilipiga jiwe zikawa zimebonyea.

Kwa kifupi imenitoka 230,000 qmamake kwa mchanganuo huu:

Kupima ECU kwa mashine: 20,000
Switch ya Gearbox: 40,000
ATF Type IV Toyota: 80,000
Engine Oil + Filter: 55,000
Rubber Butt: 15,000
Ufundi: 20,000

Kesho Jpili nilikua nataka nimfanyie surprise Girlfriend wangu yule wa Bunju. Nilitaka nimpeleke Bagamoyo tukale zetu 'Bata' kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Nime cancel hiyo ratiba, bajeti nimeitumia kwenye marekebisho ya gari yangu. Sema ikifika saa sita usiku namtumia message ya "Happy Birthday my potential wife" imetoka hiyo.
 
View attachment 1713325

Lakin pia fundi akashauri ni bora tubadilishe Fluids zote (Oil na ATF) maana mfano OIL ilikua nyepesi sana.

Basi tumenunua ATF Type IV ile ya Toyota inauzwa 80,000.
View attachment 1713327

Hahahaa safi sana boss. Pole sana hapo sasa nadhani utaenjoy life.

Vipi kuna utofauti katika uendeshaji maana umejitahidi umefanya service kubwa sana.
 
Naam. Gari imekua nyepesi.
Nilikua naogopa hata kupanda pale flyover ya Ubungo juu kabisa.
Leo nimepita kama mshale shaaaa.
 
MREJESHO:

Asanteni wadau mlionisaidia utadhani tunafahamiana. Specifically Mad Max na Extrovert. Nimefuata ushauri wenu, Mungu awabariki.

Pia natoa shukrani kwa wadau mlioleta comment za dharau na majivuno. Specifically Heci, Jimbi na gwankaja.

Okey, leo nilienda kwa fundi.
Nikamueleza matatizo ya gari yangu. Nikamueleza na 'preliminary inspections' mlizotoa hapa.

Tukachek ATF na Engine Oil ziko fresh.
Basi wakapima na mashine kwenye ECU tatizo likaonekana ni 'switch' moja ya kwenye gearbox imekufa. Tukabadili.

Switch yenyewe hii hapa. Tumeulizia gerezan inauzwa 70,000. Sema fundi Kuna gari nyingine imetelekezwa na tajiri, kwahiyo tukaichomoa kule tukaweka kwangu nikalipia 40,000.
View attachment 1713325

Lakin pia fundi akashauri ni bora tubadilishe Fluids zote (Oil na ATF) maana mfano OIL ilikua nyepesi sana.

Basi tumenunua ATF Type IV ile ya Toyota inauzwa 80,000.
View attachment 1713327

Naam. Engine Oil (pamoja na Filter) tumenunua 55,000. Picha ya dumu lake siioni hapa.

Pia fundi alifanya kuzinyoosha na kusafisha zile Oil Sample zote mbili (engine na gearbox) kuna mahali nilipiga jiwe zikawa zimebonyea.

Kwa kifupi imenitoka 230,000 qmamake kwa mchanganuo huu:

Kupima ECU kwa mashine: 20,000
Switch ya Gearbox: 40,000
ATF Type IV Toyota: 80,000
Engine Oil + Filter: 55,000
Rubber Butt: 15,000
Ufundi: 20,000

Kesho Jpili nilikua nataka nimfanyie surprise Girlfriend wangu yule wa Bunju. Nilitaka nimpeleke Bagamoyo tukale zetu 'Bata' kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Nime cancel hiyo ratiba, bajeti nimeitumia kwenye marekebisho ya gari yangu. Sema ikifika saa sita usiku namtumia message ya "Happy Birthday my potential wife" imetoka hiyo.
Kwahiyo gari imepona kabisa?
 
Leo umefanya mambo mzuka yani, haujapigwa kizembe. Gari naiman haitazingua tena.
 
Hahahaha Eti Anashindwa Hadi Kutoa Lift Kwa Mabinti Wa Udsm
 
Back
Top Bottom