Bacca agombaniwa na timu za Ulaya

Hajafikia hata kiwango cha Josip stanic na stanic huko leverkusen anawekwa bench sasa waongeze mchezaji wa kukaa bench au? Hiyo leverkusen ndo inaongoza ligi wanahitaji wachezaji wenye ubora wa juu huyo bado yuko level ya Tp mazembe
 
Acha upoyoyo we jamaa ulaya kabla ya kipaji wanaangalia umri kwanza unadhani hao ni kama simba na yanga wanabeba wazee kama kina bigirimana na saidoo.
 
Hajafikia hata kiwango cha Josip stanic na stanic huko leverkusen anawekwa bench sasa waongeze mchezaji wa kukaa bench au? Hiyo leverkusen ndo inaongoza ligi wanahitaji wachezaji wenye ubora wa juu huyo bado yuko level ya Tp mazembe
Anafurahisha kijiwe tu anajua ulaya ni kama team za kkoo.
 
Ila huyu dogo ana kipaji aisee. Na kwa kweli Yanga wanahitaji pongezi kwa kumpa mkataba wa muda mrefu. Maana huo mkataba utawalipa bila shaka.
 
Mpambanaji Kama bacca ni halali kwake kwenda ulaya Hata aanze na timu ya kawaida ligi daraja la kwanza apande Mpaka timu kubwa za ulaya .
Wa Zanzibar wenzake wapo England wamuunganishie timu ulaya Kama mwenzake abdala shaibu alipokuwa La galaxy .

Watoto wadogo wakiona mifano Yao watataka nao wawe Kama wao , sio sasahivi mtaani watoto wanataka kuwa Kama Diamond , harmonize , marioo nk upuuzi mtupu mfyuuuu.
 
Attachments

  • A41F1E6A-4BB6-45E2-AF7C-221CE23A6718.jpeg
    84.7 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…