stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Jana mboni alishindwa kutia goliFei wanaharibu tu kiwango chake, ilibidi akagombanie namba ya de bryune
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana mboni alishindwa kutia goliFei wanaharibu tu kiwango chake, ilibidi akagombanie namba ya de bryune
Source: Trust me BroChanzo cha habari tafadhali.
Mkuu ukiwa kati kati ya nyumbu nguvu zote wanazi drain.Jana mboni alishindwa kutia goli
Wa Yanga yule ndio alikuaga wa motoMkuu ukiwa kati kati ya nyumbu nguvu zote wanazi drain.
Mbona ronaldo performance ya taifa s nzur kama kwenye club alizocheza?
Feisal basi tu sijui kwann pep ajamuona atajuta sana
Sina Shaka na uwezo wa Bacca unajipambanua ,ila kwenda Beyern Leverkusen Moja Kwa Moja nahisi Ni porojo za hizo media uchwara,Si dhani kama Yule Fabrizio Romano angeshindwa kupost hii maana ana Dili sana na Ulaya.Source: Trust me Bro
Walishaondoka wachezaji tegemeo kuzidi hata Bacca kwa sasa na Yanga ilibaki vilevileNaanguka huyoooo anachukua mikoba ya Bacca!
Mwamba akiondoka Yanga itateseka kwa muda
Acha upoyoyo we jamaa ulaya kabla ya kipaji wanaangalia umri kwanza unadhani hao ni kama simba na yanga wanabeba wazee kama kina bigirimana na saidoo.Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.
Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.
Bravo scout wa Yanga [emoji1628]View attachment 2882137
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Anafurahisha kijiwe tu anajua ulaya ni kama team za kkoo.Hajafikia hata kiwango cha Josip stanic na stanic huko leverkusen anawekwa bench sasa waongeze mchezaji wa kukaa bench au? Hiyo leverkusen ndo inaongoza ligi wanahitaji wachezaji wenye ubora wa juu huyo bado yuko level ya Tp mazembe
Watalirudisha beki la chanNaanguka huyoooo anachukua mikoba ya Bacca!
Mwamba akiondoka Yanga itateseka kwa muda
Kabisa mkuu....fei aliwaka sanaFei wanaharibu tu kiwango chake, ilibidi akagombanie namba ya de bryune
Zenji Kuna vipaji sanaKwa kweli huyo Mzenji ni mnoma. Tumtakie kheri aende kwa uzuri tu
Washambuliaji ... wanaongoza kupiga back passWashambuliaji wa taifa stars
Walikuwa wana wachosha tu
Wakina baca
Ova
Ila huyu dogo ana kipaji aisee. Na kwa kweli Yanga wanahitaji pongezi kwa kumpa mkataba wa muda mrefu. Maana huo mkataba utawalipa bila shaka.Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.
Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.
Bravo scout wa Yanga [emoji1628]View attachment 2882137
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app