Bacca agombaniwa na timu za Ulaya

Bacca agombaniwa na timu za Ulaya

Mapungufu yake yanarekebishika. Mapungufu yake ni:
  • Hana confidence ya kucheza mechi kubwa
  • Accuracy ya pasi zake bado chini
  • Stamina iongezeke kidogo
Haya akipata kocha mzuri + mecho kama 7 hivi za kimataifa anatoboa.
Na uzuri zimbwe hanaga time na umajeruhi [emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mapungufu yake yanarekebishika. Mapungufu yake ni:
  • Hana confidence ya kucheza mechi kubwa
  • Accuracy ya pasi zake bado chini
  • Stamina iongezeke kidogo
Haya akipata kocha mzuri + mecho kama 7 hivi za kimataifa anatoboa.
Imabidi apelekwe Namungo kwa mkopo ili akaongeze kiwango chake
 
Yanga wengi wenu mnakaroho ka kwann sana yaan mtu anapata malisho bora kwenye sehem mpira unachezwa nyie mnawaza uchawi kuwa mtakosa mtu wa kureplace kwan samatta,msuva walipoondok timu hazikupata mbadala??
Hamna anayependa vizuri viondoke[emoji23][emoji23]

That's y dulla makabila anahaha Kwa Bugatti

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Utopolo akili zao ndio zilipoishia.. mtu kaamka asubuh kaenda kunya hata hajanawa vzr anaanza kuleta mada za uongo uongo..
 
Utopolo akili zao ndio zilipoishia.. mtu kaamka asubuh kaenda kunya hata hajanawa vzr anaanza kuleta mada za uongo uongo..
Hata Mimi nilivyokuwa maskini kama wewe..... automatically nilikuwa na hasira [emoji3063][emoji3063] na watu from no where

But Baada ya kuwa tajiri now nipo safe

So tafuta pesa mkuu.....[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Utopolo akili zao ndio zilipoishia.. mtu kaamka asubuh kaenda kunya hata hajanawa vzr anaanza kuleta mada za uongo uongo..
Punguza makasiriko KOLO, hata Mzee Mohamed Hussein anahitajika pale Real Madrid [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.

Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.

Bravo scout wa Yanga [emoji1628]View attachment 2882137

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Pipa limeamka na Taka
 
Back
Top Bottom