Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Exactly. Nimekosea2024 - 1999 = 25
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly. Nimekosea2024 - 1999 = 25
Mapungufu yake yanarekebishika. Mapungufu yake ni:
Mechi na Zambia ndio tulilikoroga. Bahati zote zilikuwa upande wetu, ila tuliacha kucheza kipindi cha pili wakati wao walikuwa 10 nasin 11. Any way ni shule tosha.
Kwa kweli nilishangaa ....timu ipo pungufu lkn inatupeleke moto [emoji23]Mechi na Zambia ndio tulilikoroga. Bahati zote zilikuwa upande wetu, ila tuliacha kucheza kipindi cha pili wakati wao walikuwa 10 nasin 11. Any way ni shule tosha.
Na uzuri zimbwe hanaga time na umajeruhi [emoji23]Mapungufu yake yanarekebishika. Mapungufu yake ni:
Haya akipata kocha mzuri + mecho kama 7 hivi za kimataifa anatoboa.
- Hana confidence ya kucheza mechi kubwa
- Accuracy ya pasi zake bado chini
- Stamina iongezeke kidogo
Yanga wengi wenu mnakaroho ka kwann sana yaan mtu anapata malisho bora kwenye sehem mpira unachezwa nyie mnawaza uchawi kuwa mtakosa mtu wa kureplace kwan samatta,msuva walipoondok timu hazikupata mbadala??
Imabidi apelekwe Namungo kwa mkopo ili akaongeze kiwango chakeMapungufu yake yanarekebishika. Mapungufu yake ni:
Haya akipata kocha mzuri + mecho kama 7 hivi za kimataifa anatoboa.
- Hana confidence ya kucheza mechi kubwa
- Accuracy ya pasi zake bado chini
- Stamina iongezeke kidogo
Kwenye ulaini laini ila vipaji wanavyo wale jamaa.
Hamna anayependa vizuri viondoke[emoji23][emoji23]Yanga wengi wenu mnakaroho ka kwann sana yaan mtu anapata malisho bora kwenye sehem mpira unachezwa nyie mnawaza uchawi kuwa mtakosa mtu wa kureplace kwan samatta,msuva walipoondok timu hazikupata mbadala??
SanaKwenye ulaini laini ila vipaji wanavyo wale jamaa.
Hata Mimi nilivyokuwa maskini kama wewe..... automatically nilikuwa na hasira [emoji3063][emoji3063] na watu from no whereUtopolo akili zao ndio zilipoishia.. mtu kaamka asubuh kaenda kunya hata hajanawa vzr anaanza kuleta mada za uongo uongo..
Mpaka unatafuta kiberiti, basi hakujakucha, kumekuchwa.kumekucha! Nani kachukua Kibiriti changu
Haziwezi kuwa za kweli kwakua hakuna timu inayoitwa Bayern LeverkusenKama hizi habari zina ukweli basi namtakia Kila la kheri. Ni beki mzuri.
Hata Bacar Sarr anatakiwa na Manchester City [emoji23][emoji23]Nyie endeleeni kusajili wazee
Mnara wa 5 [emoji113]G utakuja tena
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Punguza makasiriko KOLO, hata Mzee Mohamed Hussein anahitajika pale Real Madrid [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utopolo akili zao ndio zilipoishia.. mtu kaamka asubuh kaenda kunya hata hajanawa vzr anaanza kuleta mada za uongo uongo..
We ulitaka bocco aende wapi? Na kwanini? We kama nani??Hata tulipowaambia bocco badao yupo simba...hamkuamini[emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Pipa limeamka na TakaInaelezwa kuwa klabu kadhaa kutokea Barani ulaya ikiwemo bayern leverkusen zimevutiwa na uwezo wa mlinzi wa Taifa Stars, Ibrahim Bacca anaechezea Yanga SC.
Klabu zinazotajwa zaidi ni kutokea nchini Ubelgiji, Italy na Ufaransa inawezekana muda wowote ofa ikatumwa pale Jangwani Kwa ajili ya kumng'oa nyota huyo.
Bravo scout wa Yanga [emoji1628]View attachment 2882137
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app