Bacha......................Happy Birthday!!!!!!!

Bacha......................Happy Birthday!!!!!!!

Heri ya kuzaliwa kiongozi , sasa Bacha tupe cordinates wapi tuna smashi zemu botlozi?
 
Happy bday Bacha,nakutakia maisha mema yenye upendo na amani
 
Heri ya kuzaliwa kiongozi , sasa Bacha tupe cordinates wapi tuna smashi zemu botlozi?

Bacha sio muaandaji yeye ni mtoto. Kwa mawasiliano zaidi ya logistics wasiliana na mimi
 
Mshenga wangu Happy Birthday,sasa unaonaje tukimualika yule mtoto anayependa kutukonyeza ili siku iende vizuri?
 
happy bday mkuu.
uzidi kukua,kama hujafunga ndoa ufunge,uzae,uzeeke na mwisho ukufe.

asante sangara,
acha nizidi kukua mtu wangu ili,
niendelee kuwatafuna sangara bana!!!!
 
Hongera kwa kuzaliwa katika kipindi hiki cha kwaresma,
Ukue katika kimo na busara kwa kuishika imani
Mungu mwenye heri akuongezee uhai

asante Baba Askofu,
Uzidi kuniombea kwa mungu!
 
Heri ya kuzaliwa kiongozi , sasa Bacha tupe cordinates wapi tuna smashi zemu botlozi?

Asante kiongozi wangu,
Ze mubotlozi leo haiko mkinga,
nipo kwa safari, njiani kwenda Loliondo!
ngoja nikirudi nitafanya logistics tu!
 
Happy birthday mkuu bacha...sijui nimechelewa party imeisha? eti DA?
 
Hujachelewa kabisa ndo kwaanza maandalizi yanaendelea. Karibu sana!!!

asante ngoja nipande tuku tuku hapa fasta
bacha ni mlaji wa nyama gani tena nitoke nayo kabisa huku kijijini? manake nasikia kazaliwa na meno kabisa
 
asante ngoja nipande tuku tuku hapa fasta
bacha ni mlaji wa nyama gani tena nitoke nayo kabisa huku kijijini? manake nasikia kazaliwa na meno kabisa

Poki ndo hiyo nyama anayopenda
 
HAPPY BIRTHDAY BACHA, MUNGU AKUJALIE AFYA NJEMA.

Happy birthday Bacha, Mungu akujalie afya njemaaa!
 
Attachments

  • Mushroom_home_cake[2].JPG
    Mushroom_home_cake[2].JPG
    54.9 KB · Views: 32
Back
Top Bottom