Bacha......................Happy Birthday!!!!!!!

Bacha......................Happy Birthday!!!!!!!

Sasa huyu besdei boi ameshaacha kukojoa kitandani?
 
Punguza wivu basi, na yako naibuku pia. Haya sema ahsante babu kikongwe.

Wivu sina lakini roho inauma. Asante nitakwambia mapemaaaa kama miezi miwili bado. Na mimi nabuku yako kabisa
 
Mkinionea na Keren_Hapuch mpeni salamu zangu.

Mwambieni naye naibuku bethdei yake nimrushe hewani....Ukirushwa hewani na babu, unapunguziwa dhambi zako kumi.
 
Back
Top Bottom