Bachelor degree in project planning and management (BDPPM) na Bachelor degree in environmental planning and management (BPM)

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,335
Reaction score
404
Wakuu naomba tumshauri ndugu mmoja ni mwajiriwa (KILIMO) ila anataka kuhama kada na anapendelea kusoma kozi hizi? Swali baada ya kusoma anaweza hamia kada zipi Kwa kozi hizi? BACHELOR DEGREE IN PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT (BDPPM) na BACHELOR DEGREE IN ENVIRONMENTAL PLANNING AND MANAGEMENT (BPM)

natanguliza shukran
 
Nanda VETA MKUU
 
Anataka kuhama kada, anahamia kada ipi? Asomee Project planning and management kidogo ina uwanja mpana.
 
Wakuu naomba tumshauri ndugu mmoja ni mwajiriwa (KILIMO) ila anataka kuhama kada na anapendelea kusoma kozi hizi? Swali baada ya kusoma anaweza hamia kada zipi Kwa kozi hizi? BACHELOR DEGREE IN PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT (BDPPM) na BACHELOR DEGREE IN ENVIRONMENTAL PLANNING AND MANAGEMENT (BPM)

natanguliza shukran
BEDPPM sio kozi nzuri bali takataka inafaa kufutwa maana haijiriki mtaani. Sikutishi ila kama huamini kaisome utajuta maisha yako yote
 
Mkuu kwahiyo sisi tulio ajiriwa na tumesoma BEDPPM unatushaurije? Kikubwa upate hayo makaratasi yanayoonyesha umefika chuo kikuu..kuhusu kuajiriwa ni wewe na juhudi zako na bahati uliyonayo na Mungu wako.
 
Banadamu wanafiki sana ukute unatetea na bado huna hana ajira.
 
1000345646.jpg
 
Back
Top Bottom