Nanda VETA MKUUWakuu naomba tumshauri ndugu mmoja ni mwajiriwa (KILIMO) ila anataka kuhama kada na anapendelea kusoma kozi hizi? Swali baada ya kusoma anaweza hamia kada zipi Kwa kozi hizi? BACHELOR DEGREE IN PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT (BDPPM) na BACHELOR DEGREE IN ENVIRONMENTAL PLANNING AND MANAGEMENT (BPM)
natanguliza shukran
Daaaa eti nenda VETA....Kama ni kutoka chuo cha mipango
BDPPM
1. Mipango
2. Maendeleo ya Jamii
BPM
1. Mipango
2. Mazingira
Anataka kuhama kada, anahamia kada ipi? Asomee Project planning and management kidogo ina uwanja mpana.Wakuu naomba tumshauri ndugu mmoja ni mwajiriwa (KILIMO) ila anataka kuhama kada na anapendelea kusoma kozi hizi? Swali baada ya kusoma anaweza hamia kada zipi Kwa kozi hizi? BACHELOR DEGREE IN PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT (BDPPM) na BACHELOR DEGREE IN ENVIRONMENTAL PLANNING AND MANAGEMENT (BPM)
natanguliza shukran
Usikurupuke, soma vizuri comment yanguMipango, au mazingira
BEDPPM sio kozi nzuri bali takataka inafaa kufutwa maana haijiriki mtaani. Sikutishi ila kama huamini kaisome utajuta maisha yako yoteWakuu naomba tumshauri ndugu mmoja ni mwajiriwa (KILIMO) ila anataka kuhama kada na anapendelea kusoma kozi hizi? Swali baada ya kusoma anaweza hamia kada zipi Kwa kozi hizi? BACHELOR DEGREE IN PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT (BDPPM) na BACHELOR DEGREE IN ENVIRONMENTAL PLANNING AND MANAGEMENT (BPM)
natanguliza shukran
Mkuu kwahiyo sisi tulio ajiriwa na tumesoma BEDPPM unatushaurije? Kikubwa upate hayo makaratasi yanayoonyesha umefika chuo kikuu..kuhusu kuajiriwa ni wewe na juhudi zako na bahati uliyonayo na Mungu wako.BEDPPM sio kozi nzuri bali takataka inafaa kufutwa maana haijiriki mtaani. Sikutishi ila kama huamini kaisome utajuta maisha yako yote
Banadamu wanafiki sana ukute unatetea na bado huna hana ajira.Mkuu kwahiyo sisi tulio ajiriwa na tumesoma BEDPPM unatushaurije? Kikubwa upate hayo makaratasi yanayoonyesha umefika chuo kikuu..kuhusu kuajiriwa ni wewe na juhudi zako na bahati uliyonayo na Mungu wako.
Haya wewe usie mnafiki msaidie mtoa post sasa.Banadamu wanafiki sana ukute unatetea na bado huna hana ajira.