Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeshukuru kusikia waliosoma wapo crdb?Nashukuru kwa taarifa
Almost course zote SUA ni nzuri ila jiandae kwa msuli ya zaidi uliokuwa unaupiga A-level na O-level, pia ukifanikiwa kuchaguliwa starehe zisiwe kipaumbele kwako bila hivyo mwaka wa kwanza tuu utarudi zako kijijini chitohoriwakuu naomba kuuliza juu ya kozi ya ""bachelor of agriculture economy and agribusiness """ iliyopo pale sua . Ipoje na fursa zake zipoje ..
Nikozi nzuri sana na ina ushindani mkubwa san SUA ..zaidi ya 80% ya wafanyakazi wa CRDB wanafanya kozi hii...hPa unaweza kuwa mchumi..mhasibu..mjasiriamali..hawa shambani milk walisoma course hii!
Ndo wamenichagua kozi hii.... yani bata hatuli kabisa mkuu.. mbona itakua tabu sanaAlmost course zote SUA ni nzuri ila jiandae kwa msuli ya zaidi uliokuwa unaupiga A-level na O-level, pia ukifanikiwa kuchaguliwa starehe zisiwe kipaumbele kwako bila hivyo mwaka wa kwanza tuu utarudi zako kijijini chitohori
Huwezi kusoma course hii ukawa mhasibu mkuu,hivyo vingine ni sawa
Almost course zote SUA ni nzuri ila jiandae kwa msuli ya zaidi uliokuwa unaupiga A-level na O-level, pia ukifanikiwa kuchaguliwa starehe zisiwe kipaumbele kwako bila hivyo mwaka wa kwanza tuu utarudi zako kijijini chitohori
huo muda utaupata wapi wakati pindi ni kila siku alafu vinaishaga usiku na jpili unakula test, jmosi unafanya asignmentHivi mkuu unaweza ukawa unasoma pale alaf unamiliki shamba maeneo ya morogoro kule ili kujikimu
wakuu naomba kuuliza juu ya kozi ya ""bachelor of agriculture economy and agribusiness """ iliyopo pale sua . Ipoje na fursa zake zipoje ..