Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujiandae mkuu ni noma kwel make wengine tumezoea msuli kidogo af unafanya mambo mengineHaya ni mazito sana
Mkuu hiyo ni demand and supply ya bidhaa zinazohusu/zinazotokea shamba.... Kifupi utakua dalali msomi!wakuu naomba kuuliza juu ya kozi ya ""bachelor of agriculture economy and agribusiness """ iliyopo pale sua . Ipoje na fursa zake zipoje ..
Mwenyew nimechaguliwa hiyo course hapo sua ila daah nawaza sana huo msuli ambao hakuna free time hata kidogo
Mwenyewe nimezoea kusoma kiasi tu na kufanya mambo mengine, asa kama hayo tunayoyasikia ya kua so busy na class tu kutakua na ugumu kwelSio kweli kwamba hakuna free time, inategemea na mwenyewe unaichukulia vipi shule na ratiba zako zipo vipi. Nimemaliza iyo course na sijaona haya ambayo wengi wanayazungumza apa. Wengi hulete chumvi nyingi kuliko uhalisia
Nifate inbox broMkuu inabid tufahamiane mzee
Haaa mkuu heshima yako, waambie pia screening test IPO, wasisahau Sana tenses na Grammar pia....Wadogo zangu mliochaguliwa SUA kusoma hiyo kozi kwanza hongereni sana. Nimeona waliochaguliwa wanapata wasiwasi kidogo.Naomba niweke my two cents[emoji4]
Kiuhalisia iko hivi..for anything to be successful kuna some kind of effort, commitment and discipline inayohitajika kuwa applied...masomo included.
Kuna muda inabidi ubadili gia ili mambo yako yaende....kuna waliosema wamezoea "kusoma kiasi" na kufanya "mambo mengine"....ndio wengi wetu tulikua hivyo hivyo...lakini kuna muda inafika inakubidi tuu usome sana yani hamna namna....ili uweze kufikia malengo yako uliyojiwekea kimasomo na kwenda na kasi ya walimu darasani.
Naamini asilimia kubwa ya hayo "mambo mengine" yanaweza kufanyika muda wowote tuu hata mkiwa likizo. Kwahiyo jitahidini sana kuwa flexible ili kuendana na mabadiliko ya mazingira mtakayoishi...hakuna kitu kinachoshindikana ukiweka nidhamu na bidii.
Kumbukeni kinachowapeleka chuo ni elimu kwanza, hayo mengine yapo tuu na hata usipoweza kuyafanya hamna atakayekushangaa.
Mwisho kabisa karibuni sana SUA, karibuni sana Morogoro[emoji8]
Tutajitahidi iwezekanavyo kupambana ili twendane na hali halisiaWadogo zangu mliochaguliwa SUA kusoma hiyo kozi kwanza hongereni sana. Nimeona waliochaguliwa wanapata wasiwasi kidogo.Naomba niweke my two cents[emoji4]
Kiuhalisia iko hivi..for anything to be successful kuna some kind of effort, commitment and discipline inayohitajika kuwa applied...masomo included.
Kuna muda inabidi ubadili gia ili mambo yako yaende....kuna waliosema wamezoea "kusoma kiasi" na kufanya "mambo mengine"....ndio wengi wetu tulikua hivyo hivyo...lakini kuna muda inafika inakubidi tuu usome sana yani hamna namna....ili uweze kufikia malengo yako uliyojiwekea kimasomo na kwenda na kasi ya walimu darasani.
Naamini asilimia kubwa ya hayo "mambo mengine" yanaweza kufanyika muda wowote tuu hata mkiwa likizo. Kwahiyo jitahidini sana kuwa flexible ili kuendana na mabadiliko ya mazingira mtakayoishi...hakuna kitu kinachoshindikana ukiweka nidhamu na bidii.
Kumbukeni kinachowapeleka chuo ni elimu kwanza, hayo mengine yapo tuu na hata usipoweza kuyafanya hamna atakayekushangaa.
Mwisho kabisa karibuni sana SUA, karibuni sana Morogoro[emoji8]
Yote yataenda ilimrad personal effortsHaaa mkuu heshima yako, waambie pia screening test IPO, wasisahau Sana tenses na Grammar pia....
Anaweza pia akapga vikaz ving sana afanyavyo mhasbu akimalza hyo kozi, pia atakuwa na msing mzur kama analmalengo ya kuwa Chartered au Certified Accountant safar hatuaHuwezi kusoma course hii ukawa mhasibu mkuu,hivyo vingine ni sawa
Anaweza pia akapga vikaz ving sana afanyavyo mhasbu akimalza hyo kozi, pia atakuwa na msing mzur kama analmalengo ya kuwa Chartered au Certified Accountant safar hatua
Sawa umechaguliwa... Je! Ndio chaguo lako...? Unafahamu utakuja kuwa nani baadae.....???? Au na wewe unasoma kwa mkumbo kuwa na wewe umeenda chuo.../??? Usikute unasoma kitu ambacho baadae utajajutaMwenyew nimechaguliwa hiyo course hapo sua ila daah nawaza sana huo msuli ambao hakuna free time hata kidogo
Nafikiri alikuwa anamaanisha Business administrator ndio akachanganya na accountant.Huwezi kusoma course hii ukawa mhasibu mkuu,hivyo vingine ni sawa
Mkuu naelewa nachoenda kukisoma sikukurupuka tu kuchagua hiyo courseSawa umechaguliwa... Je! Ndio chaguo lako...? Unafahamu utakuja kuwa nani baadae.....???? Au na wewe unasoma kwa mkumbo kuwa na wewe umeenda chuo.../??? Usikute unasoma kitu ambacho baadae utajajuta
Ila hongera kwa kupata chuo... Maana kuna watu wamepata Div One na hawajawa selected
80% yaaaa CRDB duuuh huu ni uongo kiwango Cha lamiNikozi nzuri sana na ina ushindani mkubwa san SUA ..zaidi ya 80% ya wafanyakazi wa CRDB wanafanya kozi hii...hPa unaweza kuwa mchumi..mhasibu..mjasiriamali..hawa shambani milk walisoma course hii!
80% yaaaa CRDB duuuh huu ni uongo kiwango Cha lami