Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Usibishiwe unampikia chai Mungu ...... Eti watu wa Agribusiness na Agrieco wapo wengi crdb umeambiwa ni benki ya kilimo !!?? Wapo wengi wapi kitengo gani !!??hahaha unabishana na mm sasa..lol
80% yaaaa CRDB duuuh huu ni uongo kiwango Cha lami
Sawa um
Shida hapo mkuu uhasibu atafundishwa intoduction tu ambayo haipo deep kujua vitu vya course nzima ya uhasib.Major yake zaidi itakuwa ni masuala ya kiuchumi na mazaga zaga yake yote.Huyu hata CPA anaanzia foundation na sio intermediate kama waliosoma accounts tokea mwaka wa kwanza hadi wa tatu
Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini, Coopertive and Rural Development Bank ( CRBD) ni nadra kutenganisha kilimo na ushirika kwa nchi znazoendelea, usisahau hata sasa benki nying zna madirisha ya mikopo kwa ajili ya kilimoUsibishiwe unampikia chai Mungu ...... Eti watu wa Agribusiness na Agrieco wapo wengi crdb umeambiwa ni benki ya kilimo !!?? Wapo wengi wapi kitengo gani !!??
Thubutuuuuu, kama unataka disqualifiedHivi mkuu unaweza ukawa unasoma pale alaf unamiliki shamba maeneo ya morogoro kule ili kujikimu
Sawa mkuu ila usisahau ili uanzie foundation stage at least unatakiwa kuwa na two year diploma in accounting au atec, hvyo hyo s ya kubeza ya agr eco&agr biz, na bado anaweza kuwa "exemption" kadhaa na ukmkuta alyeiva vzur, mhasibu atapaa tu kwa kuwa ana "turbo " kwa matumizi ya standards na ufanisi wa kanuni zngne at "higher application levels ilakwa level za kawaida hutojua yup wa ubungo yupo wa masakiπππ
Acha kutafsiri vitu moja kwa Moja .... Wanaushirika walioanzisha hiyo benki wote (vyama vyote vya ushirika was kilimo) walikuwa na hisa ... Ilipouzwa kwa hao mabwanyenye wanaushirika wote walidhurumiwa na wakatolewa kwenye umiliki ... Hilo ni jina tu limebaki ... Na tuna kesi nao hao CRDB ya hao wanaushirika waliodhurumiwa hisa zao Tanzania nzima. Ukitaka kujua vizuri nenda Shirikisho la Ushirika Tanzania (TFC) ama nenda Tume ya Ushirika Tanzania (TCDC) . Kifupi Mimi mwenyewe ni Afisa Ushirika sooo najua nini nachosema ila siwezi kumwaga zaidi kuhusu hao crdb kwenye Hilo eti benki ya Ushirika na maendeleo vijijini.Benki ya Ushirika na Maendeleo Vijijini, Coopertive and Rural Development Bank ( CRBD) ni nadra kutenganisha kilimo na ushirika kwa nchi znazoendelea, usisahau hata sasa benki nying zna madirisha ya mikopo kwa ajili ya kilimo
Labda alimaanisha mweka hazina /treasurer [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huwezi kusoma course hii ukawa mhasibu mkuu,hivyo vingine ni sawa
ππππ Sawa afisa ushirika , ss watu wa kusoma na kusikia vjiwen ni shida ila si mbaya mkakaa nao hao Benki ya Ushirika na maendelea Vijijini na mkaendeleza mgogoroo tokea kwa regulations,na sheria zote stahiki hamuwezi lalamika goli la offside wakati beki ilipwaya, ushirika ni kama ulikufa vile, vipi na kale kabenki ka mtandao wa dunduliza kanaendeleaje au wanahisa walilala piaπππAcha kutafsiri vitu moja kwa Moja .... Wanaushirika walioanzisha hiyo benki wote (vyama vyote vya ushirika was kilimo) walikuwa na hisa ... Ilipouzwa kwa hao mabwanyenye wanaushirika wote walidhurumiwa na wakatolewa kwenye umiliki ... Hilo ni jina tu limebaki ... Na tuna kesi nao hao CRDB ya hao wanaushirika waliodhurumiwa hisa zao Tanzania nzima. Ukitaka kujua vizuri nenda Shirikisho la Ushirika Tanzania (TFC) ama nenda Tume ya Ushirika Tanzania (TCDC) . Kifupi Mimi mwenyewe ni Afisa Ushirika sooo najua nini nachosema ila siwezi kumwaga zaidi kuhusu hao crdb kwenye Hilo eti benki ya Ushirika na maendeleo vijijini.
Haya Kama Ushirika ulilala na kudorora lakini walikuwa na hisa zao na ndio mtaji ulioanzisha hiyo benki ... Wanaushirika wanapaswa kupewa dividents zao ama wawalipe hisa zao zilizokuwamo.ππππ Sawa afisa ushirika , ss watu wa kusoma na kusikia vjiwen ni shida ila si mbaya mkakaa nao hao Benki ya Ushirika na maendelea Vijijini na mkaendeleza mgogoroo tokea kwa regulations,na sheria zote stahiki hamuwezi lalamika goli la offside wakati beki ilipwaya, ushirika ni kama ulikufa vile, vipi na kale kabenki ka mtandao wa dunduliza kanaendeleaje au wanahisa walilala piaπππ
Tchao Muuza, Nyanya Kijijini Doma Hapa
[emoji23][emoji23][emoji23]Usibishiwe unampikia chai Mungu ...... Eti watu wa Agribusiness na Agrieco wapo wengi crdb umeambiwa ni benki ya kilimo !!?? Wapo wengi wapi kitengo gani !!??
Sisi jibu la moja kwa moja ila kwa wanahisa walio macho na wenye uwezo wa kupga kura katika mkutano mkuu mali yao haiwez potea, na pili, kama hisa ziliuzwa hapo tena sio dividend naona hao walalamikaji wengestahili capital gains kama zilikuwepo, ama thamani stahik ya mauzo ya hisa,thamani ya hisa yawezekana ilporomoka vibaya, je uthaminishaji ulikuwa stahiki na mengne ya kutazama kama fedha iltumikaje , lending rate BOT ilkuwaje, je kipind cha kubadilsha umiliki Benki ilkuwa yapata hasara au faida na sheria zote husika kilichochenu mwaweza pata kama kipo π πHaya Kama Ushirika ulilala na kudorora lakini walikuwa na hisa zao na ndio mtaji ulioanzisha hiyo benki ... Wanaushirika wanapaswa kupewa dividents zao ama wawalipe hisa zao zilizokuwamo.
Labda alimaanisha mweka hazina /treasurer [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]