Bachelor of Health System Management!

Dodoma moja

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
307
Reaction score
182
Wakuu naombeni mnifahamishe vizuri kuhusu hii course kwa upande wa ajira maana kuna ubishi fulani umejitokeza na jamaa zangu wanasema eti haina ajira
 
Hahaha...haina ajira? Hw about kujiajiri
 
ni hrm kwa sekta ya afya. haina mpango coz hizo taasisi za afya zinaweza muajiri mtu aliyesoma hrm, pa, pspa, sociology kufanya kazi za usimamizi wa rasilimali watu. another disadvantage ni kwamba imeji-specify kwenye afya tu, je ukikosa kazi huko kwenye sekta ya afya utakimbilia wapi?
 
Acha ujinga, BHSM ni miongoni mwa kozi zilizo so makertable kwa sasa nchini, kazi zake ni nyingi mfano hospitalin kama makatibu afya, wizarani, halmashauri pia kwenye Ngos mbalimbali watu hawa ni dili sana, hasa ukizingatia soko la ajira la sasa watalam wa maswala wa afya ni wachache sana sio kama huko sociology, pspa.
 
endelea kujidanganya. by the way hiyo sio coz ya science kama ilivyo kwa nursing au medicine. it is pure arts. najua unaitetea kwakuwa bado uko chuoni na unaisoma
 
Haina tofauti na accounts,pspa au law,yani kwa kifupi haina ishu kitaa..ni ukweli ambao unauma lakini.over
 
Haina tofauti na accounts,pspa au law,yani kwa kifupi haina ishu kitaa..ni ukweli ambao unauma lakini.over

ooh mwambie abadirishe asije soma miaka mitatu alaf akakaa kitaa bila employment!.
something blind bind in ur mind make it kind!!
 
Tatizo bado upo shule, njoo huku mtaani uone sufuria zinavokwanguliwa ukoko...
 
Haina tofauti na accounts,pspa au law,yani kwa kifupi haina ishu kitaa..ni ukweli ambao unauma lakini.over

hii course bado ni marketable atleast kwa mingi ijayo,sera ya afya ya sasa inalazimisha kuwe na makatibu wa Afya katika hospitali za wilaya na kuendelea,pia makatibu afya wa mkoa,sasa hesabu tuna wilaya n mikoa mingapi Tz na mishara yao ni ya kada za Afya tofauti n watumishi wengine serikali!
 
kuna watu waliomaliza hii course na wapo kitaa mkuu?
 
kuna watu waliomaliza hii course na wapo kitaa mkuu?

wako wengi tu mdogo wangu. unajua hiyo cozi haina direct employment kama ilivyo kwa waalimu. watu wanaomaliza cozi hiyo they have to wait for tume ya utumishi wa umma kutangaza nafasi za ajira ndipo wahitimu waombe.

je, ni matangazo mangapi ya tume ya utumishi wa umma yametangaza ajira ya makatibu wa afya? je ni matangazo mangapi ya sekta binafsi na taasisi nyingine za umma yame invite watu waliosoma hiyo cozi kufanya application?

hizi ni criteria chache tu za kukuonesha kuwa hiyo cozi ni kizungumkuti. worry out kila mtu ana ridhiki yake, we soma Mungu atakusaidia
 
endelea kujidanganya. by the way hiyo sio coz ya science kama ilivyo kwa nursing au medicine. it is pure arts. najua unaitetea kwakuwa bado uko chuoni na unaisoma

ni course nzuri,wahitimu wake wote huwa wanaajiriwa,serikali ikiwa inaongoza,ni arts kweli lakin wanasoma mambo mengi,wanafundishwa mpaka na madaktari na wachumi,kama una mtu mpele akasomee tu.
 
ni course nzuri,wahitimu wake wote huwa wanaajiriwa,serikali ikiwa inaongoza,ni arts kweli lakin wanasoma mambo mengi,wanafundishwa mpaka na madaktari na wachumi,kama una mtu mpele akasomee tu.

Asante mkuu kwa ushauri wako, ngoja nifanye hivyo maana nilikuwa na wasiwasi coz sikuwahi kusikia wala kuona ajira za makatibu wa afya zimetangazwa!
 
Voice of mtwara jitahidi kuwa data unapotoa argiment zako kuliko kuwa too general.je umewahi kuona kazi ya ukatibu afya imetangazwa?

Unajua nan anajaza hizo nafac na je unaweza kututajia mtu sociaology or pspa ambaye ni katibu wa afya na kituo alipo ili tuamini
 
endelea kujidanganya. by the way hiyo sio coz ya science kama ilivyo kwa nursing au medicine. it is pure arts. najua unaitetea kwakuwa bado uko chuoni na unaisoma

Jiadanganye tu hivyo hivyo kozi mbuzi zako hizo za sociology na PSPA.
 
Haina tofauti na accounts,pspa au law,yani kwa kifupi haina ishu kitaa..ni ukweli ambao unauma lakini.over

Kwahiyo kozi yako ndo ina ajira? Ptuuuuu hebu usichefue watu hapa.
 
acha kuariri tuulize tunaofanya nao kazi...bado ipo marketable na wanaajiriwa kama njugu both govt na private sector.mi mwenyewe ninao wawili kwenye hospitali yangu
 
Dogo isome. Ni moja ya kozi ambazo huwezi kosa kazi na ukiwa mzuri utafika mbali sana.

Maana ukishakua na experience unaweza kutembelea priavte health centres kuanzia dispensary mpaka hospitali ku offer consultancy services za namna ya ku manage hospitali and trust me ukiweza kujieleza vizuri utapata kazi ukimbie!

Ukimaliza nitafute!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…