Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Wakuu naombeni mnifahamishe vizuri kuhusu hii course kwa upande wa ajira maana kuna ubishi fulani umejitokeza na jamaa zangu wanasema eti haina ajira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha...haina ajira? Hw about kujiajiri
ni hrm kwa sekta ya afya. haina mpango coz hizo taasisi za afya zinaweza muajiri mtu aliyesoma hrm, pa, pspa, sociology kufanya kazi za usimamizi wa rasilimali watu. another disadvantage ni kwamba imeji-specify kwenye afya tu, je ukikosa kazi huko kwenye sekta ya afya utakimbilia wapi?
Acha ujinga, BHSM ni miongoni mwa kozi zilizo so makertable kwa sasa nchini, kazi zake ni nyingi mfano hospitalin kama makatibu afya, wizarani, halmashauri pia kwenye Ngos mbalimbali watu hawa ni dili sana, hasa ukizingatia soko la ajira la sasa watalam wa maswala wa afya ni wachache sana sio kama huko sociology, pspa.
Haina tofauti na accounts,pspa au law,yani kwa kifupi haina ishu kitaa..ni ukweli ambao unauma lakini.over

Tatizo bado upo shule, njoo huku mtaani uone sufuria zinavokwanguliwa ukoko...
ni hrm kwa sekta ya afya. haina mpango coz hizo taasisi za afya zinaweza muajiri mtu aliyesoma hrm, pa, pspa, sociology kufanya kazi za usimamizi wa rasilimali watu. another disadvantage ni kwamba imeji-specify kwenye afya tu, je ukikosa kazi huko kwenye sekta ya afya utakimbilia wapi?
kuna watu waliomaliza hii course na wapo kitaa mkuu?
endelea kujidanganya. by the way hiyo sio coz ya science kama ilivyo kwa nursing au medicine. it is pure arts. najua unaitetea kwakuwa bado uko chuoni na unaisoma
ni course nzuri,wahitimu wake wote huwa wanaajiriwa,serikali ikiwa inaongoza,ni arts kweli lakin wanasoma mambo mengi,wanafundishwa mpaka na madaktari na wachumi,kama una mtu mpele akasomee tu.
endelea kujidanganya. by the way hiyo sio coz ya science kama ilivyo kwa nursing au medicine. it is pure arts. najua unaitetea kwakuwa bado uko chuoni na unaisoma
Haina tofauti na accounts,pspa au law,yani kwa kifupi haina ishu kitaa..ni ukweli ambao unauma lakini.over
wako wengi tu mdogo wangu. unajua hiyo cozi haina direct employment kama ilivyo kwa waalimu. watu wanaomaliza cozi hiyo they have to wait for tume ya utumishi wa umma kutangaza nafasi za ajira ndipo wahitimu waombe. je, ni matangazo mangapi ya tume ya utumishi wa umma yametangaza ajira ya makatibu wa afya? je ni matangazo mangapi ya sekta binafsi na taasisi nyingine za umma yame invite watu waliosoma hiyo cozi kufanya application? hizi ni criteria chache tu za kukuonesha kuwa hiyo cozi ni kizungumkuti. worry out kila mtu ana ridhiki yake, we soma Mungu atakusaidia