Omba Kampala MD bado kuna nafasi,na kama unataka bpharm utahama kirahisiHabarini wakuu, mimi ni mmoja wa wahanga wa hii second round application sasa katika option za kuapply mara ya pili nimeiona hii na kidogo imenivutia mana lengo langu hasa ni kuhudumu katika sector ya qfya.
Sasa nataka mnijuze vipi hii program ina soko hapa Tanzania ? na upatikanaji wake wa ajira upoje ?.
Pia uzuri na ubaya wa hii bachlor. kwa kweli TCU wameyeyusha ndoto zangu kabisa.
na mie nimechagua bachelor of science hortculture sua kwenye second round selction lakini sifahamu hii course ipoje na ajira zake naomba kwa anayefahamu anijibu please
Omba Kampala MD bado kuna nafasi,na kama unataka bpharm utahama kirahisi
Haina mchujo tena hapo umeshapata hiyo.
na mie nimechagua bachelor of science hortculture sua kwenye second round selction lakini sifahamu hii course ipoje na ajira zake naomba kwa anayefahamu anijibu please
Hiyo course inadeal na kilimo cha mboga mboga... Kwahiyo hadi sasa we ni mkulima wa mboga.
Habarini wakuu, mimi ni mmoja wa wahanga wa hii second round application sasa katika option za kuapply mara ya pili nimeiona hii na kidogo imenivutia mana lengo langu hasa ni kuhudumu katika sector ya qfya.
Sasa nataka mnijuze vipi hii program ina soko hapa Tanzania ? na upatikanaji wake wa ajira upoje ?.
Pia uzuri na ubaya wa hii bachlor. kwa kweli TCU wameyeyusha ndoto zangu kabisa.
eti sasa naambiwa tena sijachaguliwa due to competetion hivyo nichague program nyingine , halafu ukichagua program nyingine hamna kinachotokea.yaani washanichanganyaa
Kwa kweli tcu ifumuliwe maana me naona mfumo mbovu kupindukia....unachagua unaambiwa selected...baadaye unaambiwa you have not....yaan hapa nshaumia vya kutosha maana hawa watu hawajui ugumu nloupata kusoma PCB na kupata dvsn two syo mchezo na sasa wananiongezea maumivu na stress kibao...yaan ni maumivu maumivu makubwa sana..
yani mie mwenyewe nisha kata tamaa, nimeapply second selection naambiwa sucessfully selected then naambiwa due to competition sijawa selected asa nifanye nini mungu wangu!!!