Bachelor of Medical Laboratory Sciences in Histotechnology

Habarini wakuu, mimi ni mmoja wa wahanga wa hii second round application sasa katika option za kuapply mara ya pili nimeiona hii na kidogo imenivutia mana lengo langu hasa ni kuhudumu katika sector ya qfya.

Sasa nataka mnijuze vipi hii program ina soko hapa Tanzania ? na upatikanaji wake wa ajira upoje ?.

Pia uzuri na ubaya wa hii bachlor. kwa kweli TCU wameyeyusha ndoto zangu kabisa.
Omba Kampala MD bado kuna nafasi,na kama unataka bpharm utahama kirahisi
 
na mie nimechagua bachelor of science hortculture sua kwenye second round selction lakini sifahamu hii course ipoje na ajira zake naomba kwa anayefahamu anijibu please
 
Hiyo course inadeal na kilimo cha mboga mboga... Kwahiyo hadi sasa we ni mkulima wa mboga.
 
eti sasa naambiwa tena sijachaguliwa due to competetion hivyo nichague program nyingine , halafu ukichagua program nyingine hamna kinachotokea.yaani washanichanganyaa
 
Ndugu hongera sana,ni bonge la kozi na ajira zake uhakika iwe kwenye makampuni,ualimu vyuo vya kilimo,serikalini wilayani,research ,airports,bandari kwa ufupi ni big deal,kilimo kina special kozi 3
1.Mechanisation
2.Irrigation
3.Horticulture.
Horticulture unadeal na vitu vi5 tu vegetables(mboga),fruits,flowers,spices and herbs kuanzia production mpaka kwa mlaji.So makampuni yote ya maua,matunda,mboga yanapokea watu wa horticulture degree level salary ni ndefu ila ujiandae ni kozi ngumu ndugu yangu
 
Hiyo course inadeal na kilimo cha mboga mboga... Kwahiyo hadi sasa we ni mkulima wa mboga.

Usikatishe watu tamaa kwa usichokijua ndugu hiyo mboga ni semister moja tu ndio atasome kuna vingi vya kusoma,wenzio wanapokea mpaka m2 huyo mgeni kazini wewe unasema mboga mboga duh
 
Habarini wakuu, mimi ni mmoja wa wahanga wa hii second round application sasa katika option za kuapply mara ya pili nimeiona hii na kidogo imenivutia mana lengo langu hasa ni kuhudumu katika sector ya qfya.

Sasa nataka mnijuze vipi hii program ina soko hapa Tanzania ? na upatikanaji wake wa ajira upoje ?.

Pia uzuri na ubaya wa hii bachlor. kwa kweli TCU wameyeyusha ndoto zangu kabisa.

Kuna njia moja nyingine waweza itumia kama bado wapenda kuwa daktari. Kuna chuo cha Kairuki. Huwa wana pre-med course. Sina uhakika kama ni miezi sita au mwaka. Ukimaliza wapewa mtihani, then waanza course ya degree ya udaktari kama utafaulu. Sponsorship pia hutoka board ya mikopo, ila hiyo course unajilipia.
 
eti sasa naambiwa tena sijachaguliwa due to competetion hivyo nichague program nyingine , halafu ukichagua program nyingine hamna kinachotokea.yaani washanichanganyaa

Kwa kweli tcu ifumuliwe maana me naona mfumo mbovu kupindukia....unachagua unaambiwa selected...baadaye unaambiwa you have not....yaan hapa nshaumia vya kutosha maana hawa watu hawajui ugumu nloupata kusoma PCB na kupata dvsn two syo mchezo na sasa wananiongezea maumivu na stress kibao...yaan ni maumivu maumivu makubwa sana..
 
yani mie mwenyewe nisha kata tamaa, nimeapply second selection naambiwa sucessfully selected then naambiwa due to competition sijawa selected asa nifanye nini mungu wangu!!!
 
Ndio mwanzo huu bado movie yenyewe...natamani niende kusoma nje na lazma ndoto yangu itatimia siku moja! Kwa sasa nimechagua udsm kozi ya kijinga sana ntaenda pale kama nkipata mkopo akafu niapeal pale tcu kubadili chuo ikishindikana napigana kusoma nje japo najua ufadhili ni mgumu
 
Hiki kilio cha TCU ni tisa,kumi ni kilio cha bodi ya mikopo.
Hicho ndio kitapelekea baadhi kuahirisha mwaka wa masomo,na wengine kupotezea kabisa shule

Mungu atusimamie
 
So unamaanisha KCMC na Bugando hakuana competition kaka ha ha ha ha ha kweli umekariri maisha !by the way naomba umuulize dogo kama hajaomba hivyo vyuo kwanza ?
 
Vyuo vyote vina competition kulinga na mahitaji ya chuo husika kukosa chuo MUHAS hamaanishi ndo utapata kirahisi KCMC bugando ni vyuo vingine me na dogo langu hapa lina Tisa ya BRN amekaosa MUHAS KCMC BUGANDO so unaweza kuona pote kuna Competition ndugu so usizan Muhas pekee ndo kuna competition
 
Hadi UDOM -- MD Imekuwa na competition wewe unacheza nini
 
Back
Top Bottom