Kileghe
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 367
- 315
Omba Kampala MD bado kuna nafasi,na kama unataka bpharm utahama kirahisiHabarini wakuu, mimi ni mmoja wa wahanga wa hii second round application sasa katika option za kuapply mara ya pili nimeiona hii na kidogo imenivutia mana lengo langu hasa ni kuhudumu katika sector ya qfya.
Sasa nataka mnijuze vipi hii program ina soko hapa Tanzania ? na upatikanaji wake wa ajira upoje ?.
Pia uzuri na ubaya wa hii bachlor. kwa kweli TCU wameyeyusha ndoto zangu kabisa.