Bachelor of science in accountancy and finance!!

Bachelor of science in accountancy and finance!!

kazuramimba

Senior Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
126
Reaction score
57
wakuu naombeni ushauri hili dude linatolewa na chuo kimoja tu Tz.je! Linalipa coz sisikii watu wakiizungumzia kabisa kama ile ya mzumbe.Nihayo tuu wakuu anaejua anijuze.Ahsanteni!
 
We omba tu uisome, ipo applicable after 20 yrs hapa bongo
 
Dah!mkuu,nlikua nachek kwenye prospectus ya ardhi leo,nimeona mnasoma v2 ving balaa,mnasoma hadi econometrics..cjajua imekaaje bt mambo meng ni yale yale,usishangae sana kuna chuo kingne nliona wao wanatoa bachelor of arts in a/c wt finance so we soma 2 wala ucwaze sana.
 
Tofauti ya hiyo ya ardhi university na nyingine ni kwamba mnasoma vitu vingi ambayo baadae itakuwa marketable ukilinganisha na zingine kwa sababu tuko kwenye ulimwengu wa sayansi sasa usije ukashanga kusikia bsc in economics with enginieering.
 
mkuu umenichekesha sana lakini ahsante kwa kunijuza na wote waliochangia.thanx !'
 
Back
Top Bottom