kazuramimba
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 126
- 57
wakuu naombeni ushauri hili dude linatolewa na chuo kimoja tu Tz.je! Linalipa coz sisikii watu wakiizungumzia kabisa kama ile ya mzumbe.Nihayo tuu wakuu anaejua anijuze.Ahsanteni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu umenichekesha sana lakini ahsante kwa kunijuza na wote waliochangia.thanx !'Tofauti ya hiyo ya ardhi university na nyingine ni kwamba mnasoma vitu vingi ambayo baadae itakuwa marketable ukilinganisha na zingine kwa sababu tuko kwenye ulimwengu wa sayansi sasa usije ukashanga kusikia bsc in economics with enginieering.