Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
TrueMasikini huwa hawafanikiwi kwa kuwa wanaogopa kujaribu!
Hana pesa ya kuwapa!Ajaribu vibenten wapo wa kutosha watajitokeza
Sisi tunajishauaga sana kwenye mwamvuli wa maadili. Itakua na watazamaji wengi ila guests watakua wanasakamwa sana na waty wa maadili.
Nimemkumbuka Pascal Mayalla aliongelea hii kitu.Jama wa nyegezi aka sosho wa miaka ya 98,99 wanamjua vizuri. Usidanfanywe na nywele za singa. Pana tungi na sigara mfano hakuna
Fegi na kitungi,kwa shyrose ni kawaida sana tena sana mnoJama wa nyegezi aka sosho wa miaka ya 98,99 wanamjua vizuri. Usidanfanywe na nywele za singa. Pana tungi na sigara mfano hakuna
Eti tunajishaua....lol
Ndo hapo sasa. Hata yeye mwenyewe sintashangaa akaaitwa majina yote chini ya jua, wakati waitaji watakuwa wa kwanza ku tune in, na Show ikawa a Hit.
Can't wait, and I wish her the Best kwa kweli!
Wa bongo nanyowajua hii show ita kick balaa ,iwe kwa kutazamwa au kusemwa ,labda mamlaka ipige stopSisi tunajishauaga sana kwenye mwamvuli wa maadili. Itakua na watazamaji wengi ila guests watakua wanasakamwa sana na waty wa maadili.
Nimekusalimia huoni salamu auKuna Show km "Bibi Bomba" ,mwanzo ilikua km inaweza kosa washiriki ,lkn ghafla ikawa na washiriki na watu wakaipenda ,hata hii inawezekana ikafanya vzr ,ila pia wakosoaji hawatakosekana
Ni namna tu atakavyoiandaa,maana kwa inavyoonekana ni km "Reality Show" Fulani hivi
Nimekusalimia huoni salamu au
Salama kbs,upo weweza masiku
Wacha kusema wtz ni ignorant....Meghan is Duchess of Sussex. Not Princess of Duchess.
Hahahaa. Funny though.
Kuhusu bacholerette, uhusiano wa Meghan na program kama hiyo ni upi?
Ila in Tanzania she will be judged mightily.
Jamii ya Kitanzania bado ni ignorant na conservative sana.
Maybe I should one-up her and go start The Bachelor....
Hhh princess of duchess[emoji23] .. kibongobongo hii kitu yake itaonekana sioMeghan is Duchess of Sussex. Not Princess of Duchess.
Hahahaa. Funny though.
Kuhusu bacholerette, uhusiano wa Meghan na program kama hiyo ni upi?
Ila in Tanzania she will be judged mightily.
Jamii ya Kitanzania bado ni ignorant na conservative sana.
Maybe I should one-up her and go start The Bachelor....
Sugu muhuni sana alimchukua huyu mama kwa jafarai akamgonga kisha akammwaga!maskini Jaffarai Mziki umemshinda, Na huyu dada pia kamshindwa......
si jamaa alimuambiaga yupo busy asimtafute...Teh teh huyu Cougar yule Jaffarai wake kwanini hakumuoa ?