Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,955
zis topik iz vere interesting. Kwa mtizamo wa Paloma
1. Wahusika wanatakiwa wawe wanajitambua wanapoingia katika ndoa, na pia watambue misingi inayowafanya kuingia katika taasisi hiyo. Ikiwa tu misingi sio imara basi kuna uwezekano siku za mbele kukawa na mafarakano. Uhusiano ujengwe na misingi imara ambayo wote mnaitambua na kuiridhia. Lkn msingi imara kuliko wote ni UPENDO WA DHATI, na kutambua vinavyofanya upendo kuwa upendo. Kama sikosei Agoro Anduru aliandika "Marriage Life is a Plant" kuna kazi ya kuulea huu mti ili kama ulianza kama mchicha basi uwe mbuyu, machafuko yakija hata kuukata unabaki kujiuliza utaanzia wapi - simply bicozi ni imara ati!!
Nakubaliana na baadhi ya wachangiaji kuwa uasherati ni sababu tosha ya kuvunja ndoa- vitabu vya kidini vimeeza hili! Ingawa kuna samehe 7 x 70, lakini kwa mtizamo wangu itakuwa kama umemuongezea more bullets manake atakupiga na ya pili, ya tatu,,,,,akijua kuna kusamehewa saba 7 x 777.777.....
NyumbaKubwa amesema vyema kuwa mwanamke alo ndani ya ndoa iliyomridhisha si rahisi kutereza. Manake ametosheka, ameridhika, utamlaghai vipi hapo. Mwanamke huyu kajitambua so hatetereki! Hii ni kweli kabisa!!!
Binafsi nlikuwa katika uhusiano ambao mafarakano yalikuwa hayaishi....nikapropose tutafute mtu wa tatu ambaye hatakuwa na bias kwangu ama kwake. Waaaapi! Nikamwomba atafute yeye...waapi! Mpaka nikamwambia tutafute hawa sijui social psychiat- watever-the-name-is, akanijibu kwani umekuwa chizi wewe- hahahaa!
Nikaanza outings na kuongea kwa mahaba....loh...najikuta naachwa mwenyewe narudi home kwa taxi....heee mwishowe niliposhirikisha wadau sasa-akanigeuka kapsaaa nikabaki kuduwaa!!! Nikasema ya nini kupewa inda namna hii!....nikaterezaaaa...
Sasa ukiwa na jamaa asiyetaka kusikia ushauri wala kukusikiliza, hapo sijui unafanya nini eti?