Back in Norway: Nina furaha kwa nilichopata. Uliza swali lolote

Back in Norway: Nina furaha kwa nilichopata. Uliza swali lolote

Per Diem

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
2,189
Reaction score
3,724
Moja ga jambo kubwa nililojifunza tokea nije huku ni kuwa na nidhamu ya kazi. Watu wengi wana nidhamu kubwa ya kazi.

Mimi pia tokea nipo bongo nilikuwa nna same character kama za watu wa huku hivyo ndio maana inakuwa rahisi kwangu kuishi kwa raha.

Tuachane na hayo, nimerudi Norway nikitokea Malmo baada ya kuwepo huko kwa wiki mbili, na hakika nimepata kilichonipeleka.
Baada ya kurudi gheto nimekuta sio safi sana, ila sio pachafu sana kwa kuwa napenda sana usafi.

Kuna kipindi wengi waliniuliza napoishi huku Leirvik,naishi pa kawaida sana wala hakuna sana maajabu cha msingi uweze tu kupata pesa ya kutosha kutoka kwenye mishe zako na hilo ndio lililonileta.

Ila bado nasisitiza wenzetu wanafanya sana kazi na wanaishi, hili yapaswa kuwa somo kubwa kwetu wabongo.

Kutokana na furaha niliyonayo, naruhusu maswali Ila sio ya kukera, namaanisha ni kama tunapiga story.

IMG_20210630_184232_033.jpg
IMG_20210630_190135_055.jpg
IMG_20210630_185817_045.jpg
IMG_20210630_185612_028.jpg
IMG_20210630_153555_009.jpg
IMG_20210630_154421_020.jpg
IMG_20210630_154230_018.jpg
IMG_20210630_094634_120.jpg
IMG_20210630_095128_210.jpg
IMG_20210630_095352_320.jpg
 
Ulisema mwanzo ulikiwa Mtumishi wa umma huku,tuambie ni kwa namna gani alifika huko? Na kama ni njia ya masomo je ulipata ni scholarship ama? Na kama ndivyo ulitumia njia gani kubaki huko na kufanya casual works baada ya kumaliza masomo??
 
Back
Top Bottom